RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Genius unajua terrain ya route ya Kili marathon au unasema tu? 9km unapanda mlima au unafikiri marathons zote ni sawa watu wataenda 2:03 au 2:07 ?Marathon gani hii ya kifala ati men anakuwa number one with 2:20!!!
Women with 2:45 Hadi 3hrs!!!!
Ujinga
Tafteni ideas from Nairobi city Marathon, Absa ama pia Addis Ababa Marathon.