ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiende mbali sana muache. 🤣🤣🤣 mana kinachofata ni kumuonyesha kwao. 🤣🤣Endelea tu.
View attachment 3251366
Halafu ni mkale ndio maana hajawahi mponda WSR humu. 😂😂😂Mkuu usiende mbali sana muache. 🤣🤣🤣 mana kinachofata ni kumuonyesha kwao. 🤣🤣
uzalendo kwao ni uongouongo!Kundustan matahira wamempopoa vibaya onjolo,eti sio mzalendo 😀
ulimtumia fedha jamaa nini?Endelea tu.
View attachment 3251366
Bwana Listone Mutai IamLee ona sasa hizi njaa zako zinaku-expose uliomba fedha kwa Mtanzania sio? Na madharau yoote humu, Mumbi mna matatizo sana!Endelea tu.
View attachment 3251366
Anza na Tundu LissuLeta huo ushahid we mwehu.
How does that bogus screenshot prove alimuomba pesa?Bwana Liston Mutai IamLee ona sasa hizi njaa zako zinaku-expose uliomba fedha kwa Mtanzania sio? Na madharau yoote humu, Mumbi mna matatizo sana!
Tundu lisu alinyamazishwa baada ya kuingia hotelini kupiga picha, kisha wamiliki wakamtaka alipe pesa.? 🤣🤣Anza na Tundu Lissu
Bongolala, you got my point. Hizi story mingi sijui ni za niniTundu lisu alinyamazishwa baada ya kuingia hotelini kupiga picha, kisha wamiliki wakamtaka alipe pesa.? 🤣🤣
Umesahau geothermal ya Mbeya nilisoma somewhere ujenzi umeanza .
Lakini pia sijaona private investors wanaouzia umeme Tanesco eg kule Mafinga upo.
Hao jamaa ndo kina teargas wazee wakwenda kupiga picha hoteliniUtumwa and they're fearlessly speaking, recording and sharing it on the internet? 😂 😂
Hapo kwenu wangenyamazishwa - if you know what I mean.