Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Victor, huna kichapo umenipa. Ilikuwa ni ngumu kuongea na mtu asiyejua chochote na ni waste of time, at least kama ungekuwa ni mtu unaye jipambanua kujua usiyoyajua. Hayo ni maisha nimeyaishi na kusoma so siwezi kuingia kwenye mjadala na mtu wa aina yako.
Ulitaka kudanganya nikakuexpose😂😂😂.

Alafu mimi sio Victor, and i’m not Kalenjin. So try again.
 
Shikangwa Gentris - simba queens
Wambui Elizabeth - simba
Akwino corazon - simba
Hawa ni 🗝️ player wa starlet

Yaani ulitakiwa uanze kwa neno la shukrani kwa Tanzania badala ya vijembe.
Hata hao waarabu walio wasimbua sisi tusha wapiga 5-0 huko kwao Tunis
So hao players umehighlight hapo na Watanzania? Mbona watanzania wote ni wajinga hivi?
 
Tukisema Bongolala's kwa live performance hawawezi wanakasirika. What is this? jamaa hana sauti alafu anahema kama punda. 🤣 🤣 🤣 Imbeni tu kwa studio, live performance muwachie wakenya.


View: https://x.com/Sativa255/status/1894874327079887358

Everybady sing!!
Mikono juu!!
Hiyo ndio performance ya wavumbistan. 😂 😂 😂 Majamaa kwa performance ni zero. You can feel the difference here between Kenyan performance na yao na bado watabisha.
 
Back
Top Bottom