Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mjinga keshasema hivyo juu huko 🀣🀣🀣🀣🀣
Uwanja wa amani ndio ulianza πŸ‘‡πŸΎ
IMG_5111.jpeg
IMG_5109.jpeg
 
Lengo ni 2034 by 80% wewe unaongea ujinga 😁😁
Nimekwambia uko out of touch bwana hater
bila kupunguza bei ya umeme na gas hata tupewe 100 yrs to come huku tunasubiri miujiza ya manabii na mitume πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nimecheka sana aloooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

View: https://x.com/advocate_jebra/status/1895477225966977050?s=46

What the https://jamii.app/JFUserGuide?

Ukienda China kwenyewe hawanaga huu ujinga kwa Xi.

Utachukuliwa kama unaleta chokochoko za kumharibia kazi.

Wanaoitumia ni wanyonge ambao wanaona kudhulumiwa kama yule mzee aliyebandika nyumba nzima picha za Xi ili wasibomoe kwa dhuluma.

Uchawa unaenda kuwa downfall ya hili taifa.

Now Great lakes Region imeanza kuchangamka kuna nchi wanawaza event za kusifia.

Inamaana hata Wanyarwanda ambao wanatakiwa kuangaliwa kule mpakani wakiamua kua machawa "MAMA MAMA WATAPEWA NAFASI"


CDF alisema kuna raia wa kigeni wamejipenyeza nafasi za juu bado upo unatukuza uchawa.
 
Back
Top Bottom