ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
from 54trillion to 100 trillion in 3 yrs na hakuna kitu chochote so far๐๐๐๐Ndio kwani hujasoma kwamba Serikali ya mama imepata Mkopo wa $ 2.5bln na from hiyo hela kuna arena.
By the way yule mtu wenu alithubutu hata kutenga? ๐๐
uwanja wa mpira arusha unajengwa kwa 320b of 30k seats alaf arena inajengwa kwa 450b of 15k seats tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini ๐๐๐
ndio maana siku hzi traffic kuchukua rushwa hadharani ni jambo la kawaida hawana hata wasiwasi kabisa