albarza
Senior Member
- Jan 7, 2024
- 105
- 102
Yes we buy meat from different parts of the world including you ,eti aliharibu kilimo wewe punguani kweli, wale wakulima wakorosho waliokua wanapigwa na madalali miaka yote siku hzi wapo?? au mumesahau leo? ๐๐
so ulitaka waingize mufugo yao kwenye hifadhi za taifa kwan sheria ya hifadhi inasemaje?? yeye alitala sheria ifuatwe ukiingiza mifugo kwenye hifadhi unataifishwa ndivo sheria inasema full stop๐๐๐๐
sio kilimo pekee mpaka mageuzi yaliofanyika kwenye uvuvi na ufugaji leo hii tuanshangilia kuuza nyama oman na nchi za kiarabu bila zile modern slaughter za kimataifa kujengwa unafkiri tungepewa tender ya kuuza nyama nje ya nchi hii??๐๐ na alikua anatuambia tunaongoza kwa ng'ombe africa sijui tuko number mbili
The best meat comes from new Zealand this the result of how they raise their cattle and sheep
Raise your standard you will have better price
Badala ya kila mara waarabu waarabu ,