Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so kuna MOU ya raila na ruto
UDA and ODM 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1897936555353776236?s=46
makampuni ya serekali yakufanya hvo yapo mengi tu kaka, kuna suma jkt, NHC, wakala wa majengo, tanroads etc
na ya binafsi ndio mengi zaidi
Kitu watu hawaelewi kuna mikopo ikitolewa huwa mtoa mkopo anakuchagulia hadi mkandarasi.Ndugu, hayo makampuni ya serikali yamefanya project ipi kubwa ya mfano hadi tuwaweke mezani kwamba wanaweza?
Kuna kampuni yenye viwango vya Estim hapa ndani? Kwa ukubwa wa hiyo miradi sidhani kama kuna kampuni ya ndani hapa itakayoweza. Zaidi sana watapewa kazi na wao wauze kandarasi kwa kampuni kubwa za nje. Hii ni kuongeza gharama maradufu na kupoteza muda tu.
so estim ni kampuni ya wapi? si ndio hao tumewaamini tumewapa 8 to 12 lanes na baadhi ya interchanges na over pass au of about 20kmNdugu, hayo makampuni ya serikali yamefanya project ipi kubwa ya mfano hadi tuwaweke mezani kwamba wanaweza?
Kuna kampuni yenye viwango vya Estim hapa ndani? Kwa ukubwa wa hiyo miradi sidhani kama kuna kampuni ya ndani hapa itakayoweza. Zaidi sana watapewa kazi na wao wauze kandarasi kwa kampuni kubwa za nje. Hii ni kuongeza gharama maradufu na kupoteza muda tu.
Kitu watu hawaelewi kuna mikopo ikitolewa huwa mtoa mkopo anakuchagulia hadi mkandarasi.
so estim ni kampuni ya wapi? si ndio hao tumewaamini tumewapa 8 to 12 lanes na baadhi ya interchanges na over pass au of about 20km
Mshukuru kuwa waziri wetu wa fedha hana strategy kwenye kuimarisha shilingi
eti waziri kapata nguvu 😂😂😂😂Ndio nilimwambia pale mwanzo, hizo BRT na Jangwani plus Msimbazi project hizo hatuna nguvu nazo. Maana ndio hao wenye masharti wanatoa pesa.
Pale jangwani nimepita leo naona wameanza kupagusa... Labda hela imetoka na ndio maana waziri akapata nguvu ya kwenda kumkoromea mchina kule Bagamoyo road.
huyo estim umeona anaweza kwasababu kaaminiwa ila makampuni ya ujenzi yapo mengi mbona husemi mwanza int airport kapewa caspian kampuni ya rostam azizKwa hiyo mkuu hapo tumekubaliana ni Estim peke yake kwa hapa ndani anaweza kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya hizo project kubwa.
Ila nae akiwekwa kwenye international open tender pool hatoboi. Hawezi kushindana na kampuni kubwa za nje.
waziri anataka kusaini kwneye noti za nchi😂Mshukuru kuwa waziri wetu wa fedha hana strategy kwenye kuimarisha shilingi
Shida unaweza kuta hela imetoka jana halafu mwanasiasa anaenda kuwakoromea leo. 😂😂😂Ndio nilimwambia pale mwanzo, hizo BRT na Jangwani plus Msimbazi project hizo hatuna nguvu nazo. Maana ndio hao wenye masharti wanatoa pesa.
Pale jangwani nimepita leo naona wameanza kupagusa... Labda hela imetoka na ndio maana waziri akapata nguvu ya kwenda kumkoromea mchina kule Bagamoyo road.
Anatakiwa kukuzwa kwa kupewa priority kwenye tender za serikalini ili akue zaidi mana keshaonesha anaweza.Kwa hiyo mkuu hapo tumekubaliana ni Estim peke yake kwa hapa ndani anaweza kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya hizo project kubwa.
Ila nae akiwekwa kwenye international open tender pool hatoboi. Hawezi kushindana na kampuni kubwa za nje.