ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
Mpaka leo bado hamjamaliza kuweka hizo maturubai mpo kwenye handshake 🤝 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka leo bado hamjamaliza kuweka hizo maturubai mpo kwenye handshake 🤝 😂
We mwehu!Mpaka leo bado hamjamaliza kuweka hizo maturubai mpo kwenye handshake 🤝 😂
Maumivi ya nini?Haya ni maumivu 🤣🤣
Kulikoni tena huko tanzakundu, matokeo ya kutokuwa na viwanja vya kutosha 😂😂
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1898330731438395552?t=xo4pl3fRgDa2cK9mAX277w&s=19
1 huge slumView of industries at Industrial Area and Mlolongo
View attachment 3263797
Sema umeumia bongolala. Kama ni za kawaida tuoneshe za Tandale uswaziniVitu vya kawaida. Only Poor countries like Kundustan wanaona ajabu.
Football nation katika ubora wake, ni wakati wa Uganda kula kipigo
View: https://x.com/StarletsKE/status/1898386956318371980?t=iVFdnoX59PkzWxsvrdUIsw&s=19
Mombasa marina haijaisha ujenzi mwaka wa 20 huu!Dar should be very weary of Mombasa.
View attachment 3263734View attachment 3263735View attachment 3263736View attachment 3263737
Rice %age ni zaidi!
Na wakulima wenu wote watakufa maskini. 🤣 🤣 🤣 Au unadhani hua munatupatia bure.
Hell NO, Mchele yenu hua quality mbaya sana. Mchele ikiiva inafanana ugali.Rice %age ni zaidi!
Unatuonesha Jeeps. Sasa tuoneshe zana za kijeshi.Security in Northern Kenya
View attachment 3263799