Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You live in a country that sets styles trends but you ain’t a stylist. 🤣🤣 kwasababu wewe ni mungiki from Kenya.
Seems like you losers need to be given serious lessons on how to dress up..
can you post your picture in a suit so that we know what we are talking about here? Unaeza kuwa unaropokwa hapa na huna hata suti
 
Wewe ni mshamba.
So according to Bongolalas, Kendrick Lamar, the hottest Hip Hop artist in the world at the moment ni Mshamba …🤣🤣🤣…
IMG_6128.jpeg
 
Most of kunyan ni washamba
Mr Rip city man… hata Justin Bieber ni Mshamba number 1 … na akikuja TZ your women will throw their panties at him literally…😂😂😂… I bet by next year , Diamond atavaa hivi to add to his oversize boots … it’s unbelievable how you people talk shit while the people you look up to and promote wanna be like Americans … 🙂🙂
IMG_6129.jpeg
 
Seems like you losers need to be given serious lessons on how to dress up..
can you post your picture in a suit so that we know what we are talking about here? Unaeza kuwa unaropokwa hapa na huna hata suti
Yani wewe mbwa pia unatia neno.? 🤣🤣🤣 Kaa kimya fala wewe.
 
Kweli kabisa!! Wanatupunguzia kasi ya maendeleo sana!! Tunatakiwa kuwa tumepiga hatua kumi mbele....wao ndo kwanza wanatufanya tuko hatua ya pili. Wanatupotezea muda tu!! Hakuna jipya kabisa zaidi ya hiyo SGR na ndege chache.......bass......
Vyote wanavyotamba navyo maamuzi magumu yalifanywa na jiwe.

Ona thinking capacity yao jau.

TPA badala ya kufanya restructuring kuwaweka chini ya uangalizi. Mwekezaji.

Mwendokasi badala ya kutafuta solution mwekezaji.

Kupeleka Njia 4 Chalinze badala ya kufikiria namuna unavyoweza finance kwa awamu wao ni PPP.

Mpaka watoke sijui ni nini kitabaki cha Serikali ikiwa solution yao ni.kutafuta mtu ambaye aliamua kutatua maamzi.yake huko aje kuwasaidia failure

Kwanini wasichukue maamuzi magumu ambayo yana faida kwa nchi hata kama yana hasara kwa muda maamuzi yanatekelezeka ila mbeleni yatakua na faida maradufu kuliko.kuchukua maamuzi mepesi faida kidogo hasara ya Vizazi na Vizazi.
 
mambo ya uchawa yakipitiliza mpaka kukufuru sasa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom