Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Entebbe Expressway imekua Ukunduni?In the Kenyan villages
View attachment 3267943
View: https://www.facebook.com/share/v/18RkG81hgi/?mibextid=wwXIfr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Entebbe Expressway imekua Ukunduni?In the Kenyan villages
View attachment 3267943
Iconic ,hii nimeikubali kama tuu ya Mbeya 👇 👇Nairobi has many of such small beautiful towers that we don't mention mostly.
View attachment 3267986View attachment 3267987View attachment 3267988
Hii ni kweli au AI? Wabunge wa kugawana chapoo!!
Na hapo Mama amekopa zaidi ya trilion 35! na hana jipya!Mwendokasi ni jibu tosha la aina ya serikali tulionayo. They don't care.
Ni chawaa pekee ( mkazi wa Dar es Salaam anayetumia BRT anaweza sema mitano tena)
Wew panda mwendokasi halafu sema "ila hii serikali" Nina uhakika kila abiria atasema yake jinsi ule usafiri ulivyo mateso
Na kibaya zaidi serikali inajibu uongo, itaongeza mabasi mwaka wa pili sasa. Hakuna hata bus moja. Mwezi huu msigwa alisema wataleta mabasi ( wako kimya). Hawataki kuruhusu watu hata binafsi wawekeze.
Sijui ni wakubwa gan hao wa mwendokasi hawaguswi? Wala hawatetereki
Nikiangalia Yale magorofa wanajenga kule Dodoma najiuliza mbona hawaombi msaada kutoka Kenya manake tumebobea sana ...Nairobi has many of such small beautiful towers that we don't mention mostly.
View attachment 3267986View attachment 3267987View attachment 3267988
Riverside not Lavington.
Vurugu+ukabila+njaa+uhaba wa ardhiWhy hate Kenya!?
Kama Kariakoo mwanangu. 🤣 🤣Mathare, Kenyan slum is like the CBD of DAR es Salaam
View attachment 3267983View attachment 3267984View attachment 3267985
Is that Harmonize cousin or dance partner?..🤣🤣🤣
Watakuambia dar haina slums, eti hio ni gated community. 🤣🤣🤣Go get tasted by CAF... 😂😂😂 View attachment 3268060
Wakenya wenye akili 🤣🤣👇👇Hapo frame 3 Kigali pia ishakua Mwanza.
Aisee, sorry!!I think you meant Konza digital city