BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Nimecheka kweli eti watampiga dole kumpima tezi dume. Ila jamaa alinikera sana na vimaneno vyake vya kijinga anajihisi kama ndio mtu wa kwanza kusoma Telecom
 
Nimecheka kweli eti watampiga dole kumpima tezi dume. Ila jamaa alinikera sana na vimaneno vyake vya kijinga anajihisi kama ndio mtu wa kwanza kusoma Telecom
Hana adabu sana mshkaji sio gentleman na hamueshimu yeyote yule ndio ubaya yeye anatukana tu hovyo hovyo.

Ni bora ulimpa ukweli wake.
 
EFD inaendelea Ku count mpaka sasa wagombea wameachana mbali sana yaani kama vile nilikuwa nashindanisha BMW na TREKTA dah shida kwelikweli
Wewe jamaa yangu unafurahisha sana... Eti BMW na TREKTA... Irrelevant!

Dogo ajifunze kuheshimu watu wote bila kujalisha chochote.. Ndio maisha hayo, mbona Mimi wewe sikujui lakini nakuheshimu Mkuu?

Tukiheshimiana tutapenda na kuthaminiana.
 
Hahhaha mwenyewe nishaamua kutafuta hela tu, maana kitu wanachopenda wanawake nisipokitafuta huku na Mimi nawataka wao hapo ntakuwa sina akili kumkichwa, Tutafute hela jamani
Kabisa tafuteni pesa na mtupe pesa jamanii tupeni tunachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…