BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

carbamazepine njoo tufanye mpango wa kutumiwa muamala hapa[emoji39][emoji39][emoji39]
 
amu: engineer alikumention kua unafahamu mengi juu yake vipi umwite arudi bado tunamsubiri tajiri yetu aweke chochote muda bado tunao.
This is a serious note
engineer au tumsubiri akasome salio benki kesho maana leo benki hawafungui ukizingatia engineer yuko ile benki ya mbinga community bank. hivo tumvumilie. bado muda upo
hapo ndo aliponiangusha eti haakuna huduma za kibenki mpaka aende mjini sijui radius ngapi aliandika wakati kuna online banking kibao tena wanakopesha mpaka dola ya Trump mimi amu kilaza nazijua na ninazitumia yeye certified injinia kuja na sababu kama ila mhhhh
 
Anawaangusha wanasayansi mpaka anafanya mpaka wanasayansi muone kama tunawachukia kitu ambacho sio sahihi bali tunachukia majivuno yaliyopita kiasi na matusi yake anasahau kuwa taaluma zote zinategemeana maana hadi wafanyakazi wa mochuari ambao ni darasa la saba bado nao tunawategemea kwa nafasi yap.
 
It's true!! We had a lot of funny sir. And its only funny until someone get hurt? CCNP engineer is down and hurt. [emoji16] and the fun is almost over.

enjoy!
Engineer is no where to be found, very interesting! I thought he is warming up to knock u down, may be he will show up later as for now can't see him...

Good to see you in here!

Enjoy.
 
amu: engineer alikumention kua unafahamu mengi juu yake vipi umwite arudi bado tunamsubiri tajiri yetu aweke chochote muda bado tunao.
nimemmaindi kunimention pale bora hata 50 ningeila huu uzi ningepelekeshana nao ila pesa sijala na kanitag kwenye matusi aiseee injinia naomba iwe mwisho kunitag kwenye matusi amu humu ni brand, humu ndani mimi nimezoea maneno mazuri mazuri wewe kunitag kwenye mijineno ya ukakasi aaargh
 
nakuapia angenipa ningewanyea wakina Humble African humu mpaka wajute we si unaona nlivyokuwa mdogo kama piriton ha ha ha
Itabidi hii tuifidie kwa kukutoa super dinner....

Si unajua wanaume wengine ni wagumu kutoa pesa ila kwa kununulia chakula wanatoa tu ni wewe kusema upelekwe wapi uile hiyo 50 uimalize...
 
Reactions: amu
Itabidi hii tuifidie kwa kukutoa super dinner....

Si unajua wanaume wengine ni wagumu kutoa pesa ila kwa kununulia chakula wanatoa tu ni wewe kusema upelekwe wapi uile hiyo 50 uimalize...
hapa kuna ufisi ndani yake pia sina cha kuongea na nyie mna matusi sana bora niende kwa Humble African ana maneno matamu mpaka namuonea wivu Zahra
 
Tumpe muda maybe atakuwa site anarekebisha minara [emoji4][emoji4] wanasayansi huwa hatushindwi kirahisi.....

Asipoweka leo screenshot kesho mapema atafanya hivyo....

So tuwe wavumilivu....
Mkuu mie nimepitwa screenshot ilikua na million ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…