Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
@Humble African mbaya Sana.sijawahi kuona mtu anapigwa pigo takatifu na kukimbia JF mazima. Kwani mara ya mwisho alicoment wapi na alicoment kitu gani? Simpati kabisa jamii forum hata nikimsechi haziji result zake kabisa.Jamaa anaonekana online but hana pa Ku comment dadeck
Ila wewe acha tu..Hhhhaaaaa
Itabidi tuombe msaada kwa wana IT watufungie huyu jamaa GPS ili tumpate anashinda jukwaa gani maana anatupa kazi ngumu ya kumtafuta mwisho wa siku asije kujiteka mwenyewe akasingizia tulimteka sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]@Humble African mbaya Sana.sijawahi kuona mtu anapigwa pigo takatifu na kukimbia JF mazima. Kwani mara ya mwisho alicoment wapi na alicoment kitu gani? Simpati kabisa jamii forum hata nikimsechi haziji result zake kabisa.
Sina hamu na watu wa jf jamani Watu mna maneno na vitukoIla wewe acha tu..
We mzee baba unafaa kabisa kuwa promota.unaijua kazi yako.afu mwambieni na Mello atusaidie kumsakua ID huyu njemba. Nani Afande milanzi.Itabidi tuombe msaada kwa wana IT watufungie huyu jamaa GPS ili tumpate anashinda jukwaa gani maana anatupa kazi ngumu ya kumtafuta mwisho wa siku asije kujiteka mwenyewe akasingizia tulimteka sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nini?au bado unamtafakari engineer?he is no longer madam!Sina hamu na watu wa jf jamani Watu mna maneno na vituko
Amenitia hasara kubwa sana kukimbia pambano yaani kila nikikumbuka alivyoanza kwa mbwembwe akasahau kuwa marathoni mbio zake huwa hazitaki pupa km pumzi kisoda lazima ukae mapemaaaaaWe mzee baba unafaa kabisa kuwa promota.unaijua kazi yako.afu mwambieni na Mello atusaidie kumsakua ID huyu njemba. Nani Afande milanzi.
Tafadhwali ndugu usije ukatufanya na sie tukaukimbia Uzi promota nina mtoto mdogo ambaye hajanijua hata babaake sasa kumuacha kwenda kule mahali mh si ulimsikia yule jamaa aliyeponea kwenye tundu ya sindano kesi ya Bilionea?breaking news
engineer ajinyonga
Mimi sina na kijibalance mbuzi chake nataka kujua kwa nini hakutuma pesa?Kanambia nimsaidie kupost balance akaunti yake sasa sijui mtaamini au ndio mpaka aje kuthibitisha mwenyewe.....
Upi mchango wako ama engineering maana kuna mainjinia wengi,na kwanini mtu akisoma HKL ni pugi kwa maelezo yako kuwa kwa kuwa ww ni engineer hvyo muhtasari wa HKL ni sawa tu umeumaliza.Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)
Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.
Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.
Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.
Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)
Sifananishwi na wabwekaji!!!
Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabattle ya kwenye keyboard nayapenda sana. Hebu nipambanisheni na mshana jr turogane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
PCM,PCB,PGM ni masomo rahis kuliko masomo yote dunianihawa HKL , HGK , KLF N.K wasoma mofimu na mufekane war wasijilinganishe na vichwa vya PCB ,PCM NA PGM wataumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KabisaJf ingekuwa ajira tungekuwa matajiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupe kidogo ilikuaje mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]jamani mtanitoa mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Kuna vitu vya mpinzani wangu CCNP Engineer navisoma hapa hadi najikuta nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yake na ufaulu wake na taaluma yake kwa ujumla.....tunajua elimu imeporomoka sana nchini ila sio kwa taaluma ya uinjinia.. Hapana! Ndio maana nasisitiza ili lisiwekwe kama tatizo la watu wa sayansi au fani ya engineer, hili ni tatizo la huyu jamaa Ndezi kuna uwezekano akawa psychopath.... Yuko Very naïve, mediocre and truly insane.
Though, nimecheka sana kwa content yake hiyo hapo chini yenye ujinga na upuuzi uliopita kiwango cha ustaarabu.... Na inatufundisha common sense ndio akili ya kwanza na muhimu kwa mwanadamu, ukikosa common sense huko mmagumu licha ya vyeti vyako vizuri na lukuki. Ingawaje sisi binadamu inabidi tuheshimiane tu na binafsi sichukii yeyote maana atakaenizika simjui.. Na wanaogombana ndio wanaishiaga kuwa marafiki wa kufa na kuzikana ingawaje labda nitangulie kufa mimi injinia anizike lakini akitangulia nikafika mazishini nitacheka sana huko makaburini maana jamaa yangu nilimuona pale TMT kwenye Forex jangid plaza ana kichwa kikubwa sana sasa jeneza lake hopefully litakuwa na muundo kama wa lollipop sababu ya kichwa kikubwa kisicho na common sense. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Injinia tafadhali hebu jitokeze..jionyeshe mbele za waaatu. Maana wanaogombana ndio wanaopatana na udugu ndio hazina yetu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Si ajabu tukaja kuwa washkaji sana maana Mimi sina kinyongo wala ugomvi na wewe ndugu yangu. No need to worry you got a friend here!
Apparently, ngoja niwape hii bonus kidogo wapiga kura wangu waburudike, Hii hapa ingia ucheke https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1237188/
[emoji176]
Amu mbona hivyo lakni mkuu....Mimi sina na kijibalance mbuzi chake nataka kujua kwa nini hakutuma pesa?
Utasoma 50 au zaidi ya humble 125k kama zaidi ya hiyo niandae mashambulizi kwa kina h kunaniAmu mbona hivyo lakni mkuu....
Kesho atarudi hewani nadhani muamala utasoma hiyo kesho so relax boss...
Inaweza kuwa zaidi au ile mliokubaliana kesho....Utasoma 50 au zaidi ya humble 125k kama zaidi ya hiyo niandae mashambulizi kwa kina h kunani