BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Dah hii JF itakuja kunisababishia tatizo la mbavu ninavyoona sasa
 
Sio sahihi kuhitimisha kuwa Humble African anamzidi Engeneer kiuchumi. Utajiri hua unapimwa kwa Net Asset yaani Asset-Liability. Sasa huyo Humble ameonyesha Cash, hajaonyesha upande WA pili WA liabilities (Madeni). By the way, tukubaliane CCNP anahazina kubwa kichwani, kupata cheti cha CCNP ENGENEER sio mchezo. Tatizo la Engeneer ni kukosa maadili, BASI!!!
 
Hapa atakuja mwenyewe kujielezea but ameniambia tu this time akirudi atarudi kuwa mtu poa na atakuja na nyuzi zinazojenga na kufikrisha.......
Hilo ndo la msingi sio kutukana watu hovyo haipendezi na inaonyesha ni kukosa ustaarabu
 
Hii Belo/ Batlo Bado Inaendelea?
 
Ngoja nimuite CCNP engineeeeeeeeeeer [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Hahahaa ukweli huu inabidi humble African aje abalansi mzani huu
 
Hahahaa ukweli huu inabidi humble African aje abalansi mzani huu
Humble Abalansi vipi wakati anaeshindana nae kaonyeshwa milioni tano tu na mkebe katoka mbio hadi leo ajaonekana. Ah ah aha ah ah
Mimi alinifurahisha sana injinia alivokuwa anatamba kabla ya humble kutimba kuanzia page ya 1 hadi ya 11 alitamba sana then ya 12 hadi 77 hajaonekana hata kwa bahati mbaya. Ah ah ah ah ah
Injinia alishanitukanaga sana sasa na Mimi nilikuwa nakimbiza mwizi kimya kimya... Kuadhirika kwake Mimi ni kicheko hadi gego la mwisho. Ah ah ah ah
 
[emoji23] [emoji23]

Injinia anafuatilia hati ili aje rasmi rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…