BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Huyu injinia nilivyoona anavyojitapa na AAA zake za ADVANCE, nilianza kumfuatilia, ila nilipopitia thread zake chache nkagundua ni miongoni mwa wagonjwa vichaa tulio nao... Dunia ya sasa ni mkwanja, na hata km una AAA zako sasa hivi una nn. Amenikumbusha jamaa yangu aligraduate last yr telecommunications daily anaomba nimsaidie pesa tena pesa zenyewe ndogo
 
Humble African nlikwambia kubishana na watu kama hawa ni kujidhalilisha,hv hujui wasomi wa sayansi ndo wanaongoza kwa uchizi afu mfukoni hamna kitu? Huyu hapa mjini bila udsm angepaskia bombani we achna nae tuView attachment 827663
Umenchekesha sana mkuu! Kila nikiionaga hiyo screenshot nacheka saana.

Kimsimgi najaribu sana kumpuuza ila jamaa anakuja mzima sana kila sehemu anaongea shiit na Mimi sina budi zaidi ya kumpa makonzi tu.

Yaani nikifika tu hapa anatoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16].. muda huu Sijui kaishafika wapi?
 
Dah CCNP Engineer anazingua pambano linapoa watu jasho zinakauka maana mwanzo alikuja kwa nguvu nyingi but kapotea. Anyway tuendelee mkuu Humble African Kama masharti ya mtanange yalivyo kuwa unaruhusiwa kutumia taarifa za humu jukwaani kutuonyesha madhaifu ya mpinzani wako ili kuteka kura kwa wapiga kura labda hapa sijui una nn cha kutuambia.
 
Basi sawa!
 
Mkuu kwema? Hatuonani ndugu yangu? Kiiimya sana. Nimefurahi kukuona hapa.
Nakukubali sana, maana unadharau wanaokudharau tu. Tofauti na injinia kapuku daily matusi hiyo ni kudhihirisha hana kitu.... Half sijui kwanini huwa anakimbia ukijitokeza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23]
 
Nakukubali sana, maana unadharau wanaokudharau tu. Tofauti na injinia kapuku daily matusi hiyo ni kudhihirisha hana kitu.... Half sijui kwanini huwa anakimbia ukijitokeza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu Nakukubali pia na uungwana ni vitendo nauona uungwana wako kwenye nyuzi nyingi tu humu JF. Nashangaa kwanini huyu ndugu yetu hana uungwana?

Najitahidi sana kumdharau na kumkwepa but ananichokoza mwenyewe na nikifika ananikimbia hawezi kunikabili.

I wish common sense were even more common Dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.
 
Kuna wageni hapa jf hawamjui huyu jamaa ndo maana wanamshobokea kwa taarifa zao wambie kuwa zamani alikuwa anajiita Padre mcharo akapigwa ban ndo akaja na hii account mpya
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umemtibua hapo atatafuta pay in slip za washkaji au screenshot za washkaji azitupie kuonyesha ni greater, wakati level zake ni kuondoka na nywele alizonyolewa na kukopa bank milioni 5 na kusepa tena na AAA ZAKE wakt kuna michizi naifahamu ilikomba zaidi ya milioni 500 bank tena CRDB ikatambaa na now inadunda tu mjini..
 
Ahahaha!! Promota unaijua kazi yako vizuri sana... Kama Don King vile...!

Kwa ninavyofahamu hakuna engineer anaewaza ujinga kama huyu hapa...!
 
Weweeeee hureeee mpaka hapa ushashinda soon naona usingle unauaga hivi hivi [emoji23][emoji23][emoji23] (wadada mlioko single jf hio ndio chansi ya kummiliki si mnajua watoto hutulia kwenye pesa) waje hata wazinyonye hizo kucha nzuri

Mwanaume pesa bana tena ajue na kuitumia ama nene Humble,kuanzia leo tumekupa daraja lako humu jf
 
Kuna wageni hapa jf hawamjui huyu jamaa ndo maana wanamshobokea kwa taarifa zao wambie kuwa zamani alikuwa anajiita Padre mcharo akapigwa ban ndo akaja na hii account mpya
Hata Mimi nilikuja kujua majuzi tu na nililazimika kuungainsha dots flani hivi ikiwemo hii. Baada ya yeye kuanza kumtusi hadi Mungu... Huyu atakuwa mwehu sio bure.
 
Kimsimgi huyu jamaa anakera sana asee. Na Mungu anaona huyu akiwa na hela atasumbua sana wenzake sasa kampa ma AAA yasiyo na maana kwake ili asisumbue wenzake chini ya jua.

He is done!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…