BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Kimsimgi huyu jamaa anakera sana asee. Na Mungu anaona huyu akiwa na hela atasumbua sana wenzake sasa kampa ma AAA yasiyo na maana kwake ili asisumbue wenzake chini ya jua.

He is done!
Huenda hata sio injinia mbona mpuuzi sana. Tusije tukawa tunabishana na katoto ka juzi
 
Ndugu zangu sikupanga kujinadi na sijawahi kujinadi JF but huyu bwege mshinda juu ya minara kaniprovoke na nimegundua sio level zangu...nimeamua kumpuuuza. QUOTE]

1: Mimi hapo tu kwenye bold nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

2: samahani kwa macho yangu kuwa makali nimeona kama jina la maputo bartender kwenye hii screenshot
 
jamani mnikopeshe tumilion 30,yes tumilion 30,lol ,nataka njijiajiri nisishinde humu,im serious....
Shem tatizo lako huwa unanikandia sometimes na hukai upande wangu ndio maana nascratch kutoa maamuzi rahisi. Ila sio siri mkwanja ninao hadi bank huko England wameblock. [emoji109]

Samahani! Umenionea injinia huko?
 
Ya kwangu umepata
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mama Sabrina bana
 
1: Mimi hapo tu kwenye bold nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

2: samahani kwa macho yangu kuwa makali nimeona kama jina la maputo bartender kwenye hii screenshot
Ndugu yangu! Endelea kufurahia Huduma zangu.

Hujakosea mkuu... Maputo bartender ni mdada mmoja hivi mreno mweusi wa kutoka Maputo, Mozambique, anafanya kazi kwenye Bar and Grill moja hivi hapa Tanzania. nilikutana nae akawa mshkaji nikamsave Maputo bartender. That's it!
 
Shem tatizo lako huwa unanikandia sometimes na hukai upande wangu ndio maana nascratch kutoa maamuzi rahisi. Ila sio siri mkwanja ninao hadi bank huko England wameblock. [emoji109]

Samahani! Umenionea injinia huko?

Shemu kwanza nilidhania utani,baadae nikadhani mko serious baadae nikadhani utani..kuona mascreen short yote hayoo nikaogopa kabisaa ...trust me shemu bado kuna watakaosoma hii topic wasidhani ni real...maana iko mbichi sana...…..kama nyama mbichi……..

nitakusapoti kuanzia sasa lol sio kwenye ugomvi huu lakini...lol...kuhusu hizo hela nipe hutojuta shemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…