kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
tuachane na elimu yako kwa muda.Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)
Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.
Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.
Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.
Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)
Sifananishwi na wabwekaji!!!
Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
kwa sasa tanzania kuna miradi mingi inayoendelea ikihusiana na masuala ya ukandarasi,tuambie katika fani yako ya uhandisi umeshiriki katika mradi gani au kwa sasa upo katika mradi wenye tija kwa taifa na unashiriki kama nani?.
nimeuliza kwa nia njema tu.