GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa.

Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima.

Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia yenyewe ikajikite wapi ili kuwe na balance ♎.

Bila CHADEMA kuwepo kwenye uchaguzi, wananchi wameamua kujitafutia anchor yao, nayo maandamano.

Kwa sasa si CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs MAANDAMANO.

chadema mnachokifanya ni kuleta machafuko nchini kitu ambacho watanzania sio wajinga

kuzuia uchaguzi kwa vurugu ni kama kumzuia mama mjamzito kujifungua siku ya uchungu huu ni unyama wa hali ya juu ndugu zangu
 
Natamani sana siku yatokee maandamano ya wananchi kupinga upuuzi wa serikali bila kuhusisha chama fulani cha siasa, kama ilivyotokea kwenye mabasi ya mwendokasi kupigwa mawe, kama ilivyotokea Kenya na Madagaska, maandamano ya namna hii nitashiriki mchana kweupe.
 
View attachment 3482428
Acha tuanze upya tu.

Tukutane tarehe 29
 
ccm hakuna kitu kabisa! Kwenye poll inayoendelea ya KUTIKI na KUTOKA ... KUTIKI Ina kura 3 askari kutoka Ina kura 78 mpaka sasa!
 
Natamani sana siku yatokee maandamano ya wananchi kupinga upuuzi wa serikali bila kuhusisha chama fulani cha siasa, kama ilivyotokea kwenye mabasi ya mwendokasi kupigwa mawe, kama ilivyotokea Kenya na Madagaska, maandamano ya namna hii nitashiriki mchana kweupe.
Hata mimi nitashiriki lkn sio haya ya CDM
 
chadema mnachokifanya ni kuleta machafuko nchini kitu ambacho watanzania sio wajinga

kuzuia uchaguzi kwa vurugu ni kama kumzuia mama mjamzito kujifungua siku ya uchungu huu ni unyama wa hali ya juu ndugu zangu
Wewe unaona wanaozuia uchaguzi ni CHADEMA, lakini akili haikuruhusu kuona kuwa mhusika mkuu ni Samia na Genge lake!
Uchaguzi huu usingekuwa na mvutano wowote iwapo Samia angekubali kufanya marekebisho kidogo tu kuruhusu uchaguzi HURU na HAKI.
Hivi kweli inahitaji ukumbushwe haya ndipo ujue huna akili timamu?
 
chadema mnachokifanya ni kuleta machafuko nchini kitu ambacho watanzania sio wajinga

kuzuia uchaguzi kwa vurugu ni kama kumzuia mama mjamzito kujifungua siku ya uchungu huu ni unyama wa hali ya juu ndugu zangu
Nani ndugu yako humu we kibaka? Uchaguzi maana yake ni nini kama hauleti mabadiliko yoyote??..tumechoka ufisadi uliopotiliza, uchawa, utekaji na maisha magumu
 
Back
Top Bottom