Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Acha tuanze upya tu.Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa.
Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima.
Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia yenyewe ikajikite wapi ili kuwe na balance ♎.
Bila CHADEMA kuwepo kwenye uchaguzi, wananchi wameamua kujitafutia anchor yao, nayo maandamano.
Kwa sasa si CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs MAANDAMANO.
View attachment 3482428
Amefanyaje huyo jamaa? Ujue ule mkutano wao wa hovyo wa Arusha sikuufuatilia.Duuh! Nape ndiyo kaharibu kabisa
ccm hakuna kitu kabisa! Kwenye poll inayoendelea ya KUTIKI na KUTOKA ... KUTIKI Ina kura 3 askari kutoka Ina kura 78 mpaka sasa!Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa.
Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima.
Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia yenyewe ikajikite wapi ili kuwe na balance ♎.
Bila CHADEMA kuwepo kwenye uchaguzi, wananchi wameamua kujitafutia anchor yao, nayo maandamano.
Kwa sasa si CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs MAANDAMANO.
View attachment 3482428
Hata mimi nitashiriki lkn sio haya ya CDMNatamani sana siku yatokee maandamano ya wananchi kupinga upuuzi wa serikali bila kuhusisha chama fulani cha siasa, kama ilivyotokea kwenye mabasi ya mwendokasi kupigwa mawe, kama ilivyotokea Kenya na Madagaska, maandamano ya namna hii nitashiriki mchana kweupe.
Wewe unaona wanaozuia uchaguzi ni CHADEMA, lakini akili haikuruhusu kuona kuwa mhusika mkuu ni Samia na Genge lake!chadema mnachokifanya ni kuleta machafuko nchini kitu ambacho watanzania sio wajinga
kuzuia uchaguzi kwa vurugu ni kama kumzuia mama mjamzito kujifungua siku ya uchungu huu ni unyama wa hali ya juu ndugu zangu
Nani ndugu yako humu we kibaka? Uchaguzi maana yake ni nini kama hauleti mabadiliko yoyote??..tumechoka ufisadi uliopotiliza, uchawa, utekaji na maisha magumuchadema mnachokifanya ni kuleta machafuko nchini kitu ambacho watanzania sio wajinga
kuzuia uchaguzi kwa vurugu ni kama kumzuia mama mjamzito kujifungua siku ya uchungu huu ni unyama wa hali ya juu ndugu zangu