Battle kati ya wafanyakazi na wafanyabiashara Kwa awamu zote sita

Battle kati ya wafanyakazi na wafanyabiashara Kwa awamu zote sita

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie

👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na Ile sera ya "soko huria" mambo kadhaa wa kadha yalikuwa ni ruksa kwa wafanyakazi hali ilikua ngumu kidogo, wafanyabiashara walikua kasi hapa namkumbuka tajiri kabisa "Bopari" watu wa Zanzibar wanamfahamu

👉Awamu ya tatu baba Mkapa mzee wa ubinafsishaji aah jamani mambo yalikuwa bam bam ariludisha Ile hali ya nguvu kwa wafanyakazi kwahiyo hapa ngoma ilikua droo na wafanyabiashara

👉Awamu ya 4 baba yetu Kikwete mzee wa hali mpya, nguvu mpya na kasi mpya maisha bora kwa Kila mtanzania (ilikua kawaida Ata kuokota elfu kumi Kila siku njiani) weekend zilikuwa zinaanzia alhamis wafanyabiashara walikuwa juu sana wafanyakazi hali kibembe mpaka baadhi ya taasisi wakaanza migomo wale wenzetu wa ulimbo.. Yule nani sijui

😁Hii awamu Asee maziwa na asali ilikua ni kote kote "nayakumbuka magazeti ya Risasi, ijumaa wikienda, kina Richard bukosi Kila week ni bendi tu

👉 Awamu ya 5 "hapa kazi tu" Chuma mzee Dr. Maghufuli, Tinga Tinga🤣🙄🥺hapa tuliisoma Namba wafanyabiashara hali yao ilikuwa ngumu sana we kumbuka kumbi za starehe zilivodorora kunywa pombe ni Marufuku asubuhi kwa wafanyakazi mtuambie hali ilikuaje? Nchi ilinyooka asee.

👉Awamu ya 6 🕓Mia, 6phds 🤣
Battle wafanyabiashara versus wafanyakazi kusema ukweli naomba nitie nukta hapa naona kama uhakika upo sana kwa wafanyakazi kuliko wafanyabiashara hali ni tete mara TRA, halmshauri, manispaa, fire, mikopo 🤔

Kila enzi na mbuyu wake , Rais anayekuja 2030 naomba ulegeze kidogo Achia fedha tuizoee basi, dah
 
Back
Top Bottom