Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

deecarter

Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
23
Reaction score
64
Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
 
Kiukweli TZ kwa upande ya wanamuziki wamejaa si bongo fleva sio zilipendwa c Taarab c Mnanda sio Singeli kila radha zipo unachagua tu hapo bado hujamuweka Mjomba
Ni wengi Msondo juzi juzi walikuwa Nairobi walipiga show nzuri sana
 
Kenyan Entertainment ni rich by far
Reason shows tickets ziko abit expensive,
 
Hivi nyie Wadanganyika mtajua lini Kenya ni Superpower ya east Africa?

Kenya iko juu kwa entertainment hasa music.

1. Papaa Jones
2. Aman
3. Nameles
3. Nyashiski
4. Nonini
5. Bamboo
6. Camp Mula
7. Prezzo
8. Avril
9. Stella Nyambura Mwangi
10. Ay

Nani msanii wa danganyika anashinda hawa, ukimuacha dangote?
 
Back
Top Bottom