Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

very cheap.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] watakuburuza nakuzichota pesa zako hadi nyumba na mwisho wa siku anakutema.....yaani usijaribu....hata siku moja hamuwezani nao....kabisa.....
 
For the past few months i have been travelling to Tanzania and my interactions with Tanzanians i must say they are extremely ignorant,the same way most of them in this forum are
 
Mimi ni Mtz nilipokuwa nasoma Kenya nilitoka na mtoto wa Kiluhya na mtoto kutoka Pwani...Wote wawili walikuwa above average sura lakini shepu zao zilikuwa sawa na wabongo in my opinion (which is rare in Kenya)....Hawa wanawake walikuwa wanajiamini na very confident which I like in a woman..One of the ladies below looks very similar to the luhya lady I dated..
upload_2017-9-20_15-31-11.png
upload_2017-9-20_15-36-52.png
upload_2017-9-20_15-37-34.png
upload_2017-9-20_15-37-59.png
picha za wadada wa Kenya...I admit hawa watakuwa top of the cream kwao..Bongo still is the land of beauty...
 
Ila wanawake wakenya wabaya weusi tiiiiii halafu wanapiga wanaune sasa sijajua ni wanaume wa kenya legelege au wanawake ni mabaunsA
 
Kwa kweli,,,,tafadhali sana,,,, tusifananishe kwa namna yoyote ile, warembo wetu Wa kibongoTZ na vitu vya kijingajinga! Chaaaa!
 
For the past few months i have been travelling to Tanzania and my interactions with Tanzanians i must say they are extremely ignorant,the same way most of them in this forum are
Ukishindwa rudi kwenu tu huku si lazima uelewe hata wenyewe tukielewana inatosha
 
Ila wanawake wakenya wabaya weusi tiiiiii halafu wanapiga wanaune sasa sijajua ni wanaume wa kenya legelege au wanawake ni mabaunsA
Hao ni wanaume wachache wanaokunywa pombe na hawaleti pesa nyumbani. Wacha watandikwe tu. Hadi kieleweke
 
Kuna Jamaa aliwai kusema Mademu Kenya woote wanafanana Na Rsisi wao yulee wa ile awamu ..Kibaki...
 
See the same ignorance I'm talking about
Na bado unajipendekeza huoni sasa wewe ndo una shida? Mambo kama huyawezi achana nayo na watu pia waache na mambo yao we rudi kwenu ulipozea hao watu wenu wasio na upumbavu kwani mnalazimishwaga kuja huku nyie manyang'au
 
Ignorance at its best
 
Katika nchi ya kiafrica huwezi tarajia watu wote wakue weupe ,sisi ni wafrica na tuko na same similarities, ukiangalia kabila za kibantu kuanzia kule Cameroon hadi south Africa utapata utapata a lot of similarities ranging from languages to skin colour ,and that is why they are grouped as Bantus ,and same applies to other groups of people.
 
Yaani mm nmefungua haraka haraka nione picha za mnaowalinganisha nakuta maneno tu
Wacha niendelee kuwasoma
 
Kenya kuna watu weusi jinsi walivyo Tanzania, kuna kabila la kiluo 99% ni weusi,kuna kalenjini 99% weusi kuna pokot 100% weusi ,turkana 100% weusi,luhya 45% weusi ,kuna Kikuyu 20% weusi ,kuna kamba 25% weusi Somali 10% weusi ,oromo 5% weusi rendile 50% weusi,Masai 50% weusi mijikenda 20 weusi ,bajuni 99% weupe. and the list goes on.
 
Waombe mods wabadilishe jina kidogo ili hiyo woman iwe Women
 
Back
Top Bottom