Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Watu wana ugwadu kwelikweli HoE!kanafi kamoja tu mbwembwe zimeanza!King amezidiwa hata na vanessa
Safari hii naona wengi wamekua nominated hata kina Dimpoz...
King wakati wake ulishaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana ugwadu kwelikweli HoE!kanafi kamoja tu mbwembwe zimeanza!King amezidiwa hata na vanessa
Lets vote teamNostress Kazi tu only diamond deserve the best male in EA haha nani anabisha" nimefurah tumekutana alaf mechi inachezewa ugenini hakuna longo longo huko kama za mlima
#tutawanyooshaSafarihii
Haaaaa #watanyooka tu
Safari hii naona wengi wamekua nominated hata kina Dimpoz...
King wakati wake ulishaisha
Mi nampigia Diamond tu
Hapa ndipo wa Tz tunapofanya makosa. Kama wote watakuwemo ni vema tukaunga nguvu ili tuzo zije kama nchi.
Tusikubali kuingia kwenye upuuzi wa soka, Yanga walianza kuikejeli Simba katika mechi ya Stella Artoise mwaka 1993. Dhambi hiyo hadi leo inatutesa.
My take, embu tukue basi na tuonyeshe tumekua. Mungu ibariki Tanzania.
Huu ni uongo sababu leo ndio siku ya mwisho ya ku submit entries, ungeweka subira kwanza ndugu.
Kwanini unataka kudanganya watu, kama itakuwa itakuwa ila ni kusubiri kuona majina gani yatatoka baada ya leo kuisha.
Hongera kiba umetusua bila kupandia migongo ya wanaume wenzio. Kuwa nominated tu ni nusu ya ushindi. All the best Kiba.
#HatersGonaHate
Kwenye hiyo best male ukiwaacha mondi na kiba,ni wasanii gani tena wengine wanagombea?
Ngoja tuone lakini kwenye website yao nasikia tayari wameshayatoa
Hey!..qeen,usiniangushe bhana...mbona tayari wamesharuhusu kuvote tokea walivyotoa majina tu ya nominees.Hakuna kuuliza hiyo, muda ufike tu tupige kura sie.
#TutaheshimianaTu
Wengine hao....... Kesho naanza ku vote Diamond all the way
Haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.
Wengine hao....... Kesho naanza ku vote Diamond all the way
Wewe wa wapi...yani hadi link umewekewa lakini bado ni mvivu wa kuclick tu...u'r absolutely the Qeen of lazy women in the world.
Mie tayari nimeshaanza kupiga kura mbona?Hey!..qeen,usiniangushe bhana...mbona tayari wamesharuhusu kuvote tokea walivyotoa majina tu ya nominees.