Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Hapa ndipo wa Tz tunapofanya makosa. Kama wote watakuwemo ni vema tukaunga nguvu ili tuzo zije kama nchi.

Tusikubali kuingia kwenye upuuzi wa soka, Yanga walianza kuikejeli Simba katika mechi ya Stella Artoise mwaka 1993. Dhambi hiyo hadi leo inatutesa.

My take, embu tukue basi na tuonyeshe tumekua. Mungu ibariki Tanzania.
 
Lets vote teamNostress Kazi tu only diamond deserve the best male in EA haha nani anabisha" nimefurah tumekutana alaf mechi inachezewa ugenini hakuna longo longo huko kama za mlima
#tutawanyooshaSafarihii

Alafu muite yule boya wenu anayejiita KENDRICK,mwenzie kidingi alimwambia kabisa lazima KINGKIBA leo atapata nomination yeye akaanza kubisha akisema kwa "NYIMBO GANI ALIYOIMBA"...sasa muite ajionee menyewe fasta!!!
 

Ni kweli mkuu sehemu zote hizo zenye watanzania wenzetu tutawapigia kura kiroho safi kabisaaaa!lakini kwenye best male kila mtu atachukua njia yake!!!

Lakini hatari ninayoiona hapa ni kwamba huenda hiyo tuzo ya best male ikaenda kwa nchi zingine maana sisi tutakua tumegawanyika,labda kura zichukue asilimia 40% na majaji wachukue 60% katika kuamua mshindi otherwise tuzo hii itaenda nchi nyingine
 
Huu ni uongo sababu leo ndio siku ya mwisho ya ku submit entries, ungeweka subira kwanza ndugu.

Kwanini unataka kudanganya watu, kama itakuwa itakuwa ila ni kusubiri kuona majina gani yatatoka baada ya leo kuisha.

Wewe wa wapi...yani hadi link umewekewa lakini bado ni mvivu wa kuclick tu...u'r absolutely the Qeen of lazy women in the world.
 
Wengine hao....... Kesho naanza ku vote Diamond all the way

Possibility ya Tanzania kushinda kwenye hiyo category ni ndogo sana,labda tu kama majaji watakuwa na asilimia kubwa ya kufanya maamuzi ndio tunaweza tukashinda sisi tz.

Wakenya wote watampigia kura Jaguar/na Ethiopia pia watampigia mtu wao
Watanzania tutagawanyika kwa kiasi kikubwa!kiasi kwaba kura za kibakuli na chibu huenda zisitoshe kulinganisha na wenzetu wa hayo mataifa.
 
Wewe wa wapi...yani hadi link umewekewa lakini bado ni mvivu wa kuclick tu...u'r absolutely the Qeen of lazy women in the world.

You are the one who is a king of lazy men that is why you called me so and a big craven.
 
Hey!..qeen,usiniangushe bhana...mbona tayari wamesharuhusu kuvote tokea walivyotoa majina tu ya nominees.
Mie tayari nimeshaanza kupiga kura mbona?
Wakati naandika hii post nilikua bado sijajua namna ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…