Battle: Lilongwe VS Mbeya

Mfano ukisoma kidogo tu gogle maana sijawahi fika lilongwe.

Kwanza ina watu wengi kuliko mby, 9m wakat mby ni 6m.

Piah kwa haraka haraka kwenye picha inaonesha lilongwe ina majengo marefu mengi kuliko mby, na hii inatokana na kuwa n makao makuu ya serikari.

Hivo nazan labda lilongwe ifananishwe na dodoma kwasababu ni miji inayojengwa na serikari.

Mby ni inasimama yenyewe na wafanyabisashara wa pale pale mby. Mby hawana barabara nzuri na hata mipango miji yakueleweka hivyo sijui tuseme nin??

Labada mfanano uwe wa chakula, hali ya hewa na vingine ambavyo ni Mungu kaweka ila sio man made hahaha.
 
Mmh Bro wataka kusema population ya Mbeya inalingana na ya Dar es salaam!!??
 
Dah,it's unfair to compare Lilongwe na Mbeya...
Hiyo Mwanza tu ikasome kwa Lilongwe, ukubwa ni almost sawa na Dsm.. waulize madereva wa Malory watakuambia kuhusu Lilongwe.
Mbeya ifananishe na Mzuzu, Mzuzu ni jiji ambalo geographically ni padogo lakini Kuna vitu Vipo Mzuzu,Mbeya havipo,mfano Supermarkets
Hii picha ni ya Mzuzu
 
Acha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.

Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi
😂😂 bujumbura hii ninayoijua,haifikii Mwanza,Arusha wala Dodoma ,Lilongwe level zake ni Dodoma na bado pia Dom kuna ujenźi wa majengo mengi ya kisasa kuliko Lilongwe
 
5. Culture and Life style
 
Lilongwe kwa ukubwa haiikuti Mwanza ,Lilongwe ni laki 9 na Mwanza ni mil 1.3 hata kiùchumi Mwanza iko juu ya Lilongwe ,😂😂yaani Lilongwe ufananishe na Dar yenye watu mil 5.3
 
Tunaopajua Mbeya tumeshangaa sana kupalinganisha Mbeya na sehemu ya maana
 
ACha utani lìlongwe ina watu laki 9 sio milion 9 na Mbeya ina watu around laki 4 na points kama sio laki 5
 
ACha utani lìlongwe ina watu laki 9 sio milion 9 na Mbeya ina watu around laki 4 na points kama sio laki 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…