Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wenyeji tena walivyo wabaguzi na roho mbaya kila kitu ni tafraniMbeya ni kijiji kilicho changamka
Umedata wewe sio bure.Acha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.
Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi
Mmh Bro wataka kusema population ya Mbeya inalingana na ya Dar es salaam!!??Mfano ukisoma kidogo tu gogle maana sijawahi fika lilongwe.
Kwanza ina watu wengi kuliko mby, 9m wakat mby ni 6m.
Piah kwa haraka haraka kwenye picha inaonesha lilongwe ina majengo marefu mengi kuliko mby, na hii inatokana na kuwa n makao makuu ya serikari.
Hivo nazan labda lilongwe ifananishwe na dodoma kwasababu ni miji inayojengwa na serikari.
Mby ni inasimama yenyewe na wafanyabisashara wa pale pale mby. Mby hawana barabara nzuri na hata mipango miji yakueleweka hivyo sijui tuseme nin??
Labada mfanano uwe wa chakula, hali ya hewa na vingine ambavyo ni Mungu kaweka ila sio man made hahaha.
😂😂 bujumbura hii ninayoijua,haifikii Mwanza,Arusha wala Dodoma ,Lilongwe level zake ni Dodoma na bado pia Dom kuna ujenźi wa majengo mengi ya kisasa kuliko LilongweAcha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.
Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi
5. Culture and Life styleKulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Lilongwe kwa ukubwa haiikuti Mwanza ,Lilongwe ni laki 9 na Mwanza ni mil 1.3 hata kiùchumi Mwanza iko juu ya Lilongwe ,😂😂yaani Lilongwe ufananishe na Dar yenye watu mil 5.3Dah,it's unfair to compare Lilongwe na Mbeya...
Hiyo Mwanza tu ikasome kwa Lilongwe, ukubwa ni almost sawa na Dsm.. waulize madereva wa Malory watakuambia kuhusu Lilongwe.
Mbeya ifananishe na Mzuzu, Mzuzu ni jiji ambalo geographically ni padogo lakini Kuna vitu Vipo Mzuzu,Mbeya havipo,mfano Supermarkets
Hii picha ni ya Mzuzu ģwView attachment 3115481
ACha utani lìlongwe ina watu laki 9 sio milion 9 na Mbeya ina watu around laki 4 na points kama sio laki 5Mfano ukisoma kidogo tu gogle maana sijawahi fika lilongwe.