Battle: Matonya Vs MB Dog

Battle: Matonya Vs MB Dog

Matonya ni video tu na kutupia mb doggy kuimba ila ngu9 kawaida na video zake

Kwa kuimba wako poa ila mb doggy is another level high
 
At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
Mb Dog alikua anajua kubembeleza bwana haaahh ila.matonya alikua anajua kulalamika. Kwa ujumla hawa vijana watanga walikua balaa kwenye huu mziki. Tungo.zao zinaishi na.zitaendelea kuishi maana zipo vzr mno.
 
Mb Dog alikua noma sana, "ina maana hujui kama nakupenda sana wee" naupenda huu wimbo hadi kesho kuna "Sagaplasha- ft Madee pia ni mzurii.
 
litoto la kitoongoji liliniacha kisa kuna boya alikuw anajua nyimbo zote za mb dogg ,mimi nikawa najua tu kuimba tenzi za rohon.


MB DOGGY MKALI
MATONYA MKALI WA SWAGA

miaka hiyo unaamka asubuh ukimsalimia mshua shikamoo unaona aweka pause ile redio yake ya kasette SONY W300 alafu anakujibu "MWEZ UJAO UJIANDAE KUJITEGEMEA"
 
Upo vzr hizo mistari umezinywa. 👏🏻👏🏻👏🏻👆🏻 wasanii wa siku hizi matusi tupu.

Huyo mb dog kuna nyingine ya latifa katisha mno
"Latifaaa aayaaa" kuna ndugu yangu alikua anapenda hizo nyimbo nakumbuka alikua na ile kanda yenye nyimbo zote akafanya hadi sisi wengine tuzifahamu pia.
 
Back
Top Bottom