Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Mb Dog alikua anajua kubembeleza bwana haaahh ila.matonya alikua anajua kulalamika. Kwa ujumla hawa vijana watanga walikua balaa kwenye huu mziki. Tungo.zao zinaishi na.zitaendelea kuishi maana zipo vzr mno.At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
Mb Dog alikua noma sana, "ina maana hujui kama nakupenda sana wee" naupenda huu wimbo hadi kesho kuna "Sagaplasha- ft Madee pia ni mzurii.
"Jinsi nilivoumbika tuu, ndiyo unakonda kabisaa"ππIna.maana hujui km.nakupenda sana wee financial services
Nikisikia jina lako oohh natamani nikufuate ulipo."Jinsi nilivoumbika tuu, ndiyo unakonda kabisaa"ππ
"Unatamani niende kwenu kwenu kwenu, kwenu kule manza bay, unatamani niende kwenu nikale wali na sombe"ππNikisikia jina lako oohh natamani nikufuate ulipo.
ππππ₯°π₯°πππππ₯°π₯°π₯°
Sema unachotaka mimi nitakupa. We ndio kimwana face ya Afrika."Unatamani niende kwenu kwenu kwenu, kwenu kule manza bay, unatamani niende kwenu nikale wali na sombe"ππ
πππ₯°π₯°"Unatamani niende kwenu kwenu kwenu, kwenu kule manza bay, unatamani niende kwenu nikale wali na sombe"ππ
Tumboni una vidonda, mawazo we unakondaSema unachotaka mimi nitakupa. We ndio kimwana face ya Afrika.
Upo vzr hizo mistari umezinywa. ππ»ππ»ππ»ππ» wasanii wa siku hizi matusi tupu.Tumboni una vidonda, mawazo we unakonda
Mb dog man unachoka kabisaπ
Aah na Joslin naye namkumbuka kuna wimbo wa "Tanzania vitani" kuhusu HIV aah nilimkubali sana, sijamsikia tena sijui aliachana na issues za musicπ€mkali vipi Joslin alifia wapi mbona Mr blue yeye kakaza mpaka sasa
au na yeye alijiingiza kwenye zile mambo za chid BenzAah na Joslin naye namkumbuka kuna wimbo wa "Tanzania vitani" kuhusu HIV aah nilimkubali sana, sijamsikia tena sijui aliachana na issues za musicπ€
"Latifaaa aayaaa" kuna ndugu yangu alikua anapenda hizo nyimbo nakumbuka alikua na ile kanda yenye nyimbo zote akafanya hadi sisi wengine tuzifahamu pia.Upo vzr hizo mistari umezinywa. ππ»ππ»ππ»ππ» wasanii wa siku hizi matusi tupu.
Huyo mb dog kuna nyingine ya latifa katisha mno