Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Iyo ni airstrip tu, KIA ilijengwa kuhudumia Kilimanjaro na Arusha, hapo kama mnataka ushindi wa kuforce poa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hizo excuse haziwezi kukusaidia ,,, arusha airport sio airstrip.... ni uwanja wa ndege unaohudumia mkoa wa Arusha ..hyo KIA ni purpose ya utalii tu Wala si kingine ..na ndio maana hata domestic route KIA inazidiwa na mwanza [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mbumbumbu unafananisha Dar na Mwanza? We ni punguani

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dar wanaishi watu na sehemu nyingine wanaishi punda? Mbona mnakuwa wapumbavu wa mwisho Dar kuna nini adi kutaka vitu vyote vizuri viwe dar peke yake, au pengine hapastahili maendeleo? Nilikuwa nakuona unalogic lakini sasa nakuona wewe ni tahira na sitaangaika kujibizana na mtu mpumbavu kama wewe, unataka mikoa mingine isiwe inapata maendeleo bali ni dar tu ndo yastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…