Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Shida yako ni mgeni kuhusu Mwanza na sina uhakika na umri wakof na pia nadhani Mwanza unasikiaSasa mbona Unaumia kuambiwa ukweli? 😂😂😂
Brother kigezo kikuu cha sehemu kuwa jiji ni population na uchumi(kipato na uzalishaji) wala sio maghorofa.Ambavyo Dodoma haina hata kimoja zaidi ya siasa. Ukiangalia maghorofa basi Dar ni zaidi ya Madrid.By logical thanking watu wengi hawaendi sehemu Bila sababuMkuu ukubwa wa mwanza ni in terms of population ndo 2nd ila Kwa mji unaokuwa Kwa Kasi, Arusha ipo ahead of mwanza in distance cheki tu mfano sensa ya 2022 miji inayoongoza Kwa majengo ya magorofa Arusha ni 2nd after DSM