Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa iyo wakijenga viwanda vikubwa ndo vitabomoa vilivyopo mwanza? Mwanza hakuna kiwanda cha saruji ila kuna viwanda vikubwa tu na vinafanya vizuri kuna viwanda vingi tu vinajengwa tembea usisubili kuadithiwa huku hakuna mbeleko ya serikali na maisha yanasonga kwa kasi ya ajabu
Viwanda gani vikubwa? Viwanda vikubwa viko Shinyanga.

Mwisho huwezi Kuta foreign you tubers kama huyu ya Ivory Coast akifanya Makala Mwanza is Slum.

Only in Dar,Arusha & Dom .Mwanza size yake ni Mbeya Haina Chochote Cha ku offer 👇👇

View: https://youtu.be/kqjjd0UPD6w?si=WyLpXfazK7k_BTFI
 
Kwa akili yako unafikiri Mwanza huwa imeganda tu hakuna kinachoendelea kwa kifupi tu Tanzania ya sasa sio ile ya zamani kila mkoa upo moto kwa nafasi yake maendeleo yapo mpaka vijijini huko kuishi kwako Arusha ukaona vimiladi hivyo sio kwamba mikoa mingine imelala na hakuna kinachofanyika. Sema tu ni vile mwanza haina chizi mapicha na wapiga kelele ambao hata ujenzi wa vyoo tu kwao ni habari
Nimetoka mwanza Desemba 2024 kwa kweli CBD hususan mitaa ya lumumba,Karuta, Pamba na Rwagasore kuna majengo marefu mengi yanajengwa nadhani shida itakuja kuwa parking watu ni wengi na magari ni mengi sana
Dodoma CBD inajengeka lakini si kwa kasi kama Mwanza nadhani tatizo Dodoma wanategemea zaidi Serikali.
Arusha CBD inajengeka nje zaidi CBD iko slow kidogo
Dar kama kawaida imeshaanzisha CBD mpya kama Morocco na Mbagala rangi tatu zinakuja kwa kasi
 
Dom haina CBD 1,Nje ya CBD Mwanza imejaa uchafu.

Kwa Dom unaweza enda CBD original,ukaenda Magufuli City na ukaenda NCC Link
 
Viwanda gani vikubwa? Viwanda vikubwa viko Shinyanga.

Mwisho huwezi Kuta foreign you tubers kama huyu ya Ivory Coast akifanya Makala Mwanza is Slum.

Only in Dar,Arusha & Dom .Mwanza size yake ni Mbeya Haina Chochote Cha ku offer 👇👇

View: https://youtu.be/kqjjd0UPD6w?si=WyLpXfazK7k_BTFI

Mwanza kuna viwanda vikubwa viwili vya bia tbl na serengeti kuna viwanda vikubwa vya soda Pepsi na coca kuna kiwanda kikubwa cha juice sayona viwanda vya nondo ,mabati,mabomba,plastic ,samaki,mabondo pamba kiwanda cha nguo achilia mbali vidogo vidogo vya pipi,biscuits,pombe kwa uchache tu hebu nitajie vya shinyanga
 
Nimetoka mwanza Desemba 2024 kwa kweli CBD hususan mitaa ya lumumba,Karuta, Pamba na Rwagasore kuna majengo marefu mengi yanajengwa nadhani shida itakuja kuwa parking watu ni wengi na magari ni mengi sana
Dodoma CBD inajengeka lakini si kwa kasi kama Mwanza nadhani tatizo Dodoma wanategemea zaidi Serikali.
Arusha CBD inajengeka nje zaidi CBD iko slow kidogo
Dar kama kawaida imeshaanzisha CBD mpya kama Morocco na Mbagala rangi tatu zinakuja kwa kasi
Kasi ya ujenzi mitaa hiyo ni balaa tupu midude inashushwa kila mwezi kitu kipya changamoto itakua parking bado hujafika mohamed watu wanashusha mijengo mpaka nata huko sema huyu kijana wa mbeya akiona nyumba mlimani anajua ndo kamaliza mwanza yote hajafika mitaa ya kahama,ilalila mwakalundi ,nyamadoke, nyamongolo kiseke ,nsumba ,maduka 9,tabasamu,nyegezi majengo nazani siku ukifika huko tu atakubali mziki
 
Dom haina CBD 1,Nje ya CBD Mwanza imejaa uchafu.

Kwa Dom unaweza enda CBD original,ukaenda Magufuli City na ukaenda NCC Link
Hivi Dom CBD ipo wapi ukitoa hapo nyerere square au unajua cbd ni kuwa na gorofa tu ukawii kusema udom nayo ni CBD hebu nitajie centre za biashara ambazo zinalingana na Igoma,Kisesa, Buhongwa, usagara,nyegezi,Ghana,mkuyuni,buswelu,msumbiji,mkolani,nyasaka centre maduka 9,nyakato national, mecco ,buzuruga, mwananchi ukitoa ihumwa,kizota na mipango
 
Mjini Kati
Magufuli City
NCC Link

Hayo maeneo ya Mwanza uliyotaja ni vilinge vya wahuni na wachomeleaji.

Financial Districts/Centra Business District etc
 
Kasi ya ujenzi mitaa hiyo ni balaa tupu midude inashushwa kila mwezi kitu kipya changamoto itakua parking bado hujafika mohamed watu wanashusha mijengo mpaka nata huko sema huyu kijana wa mbeya akiona nyumba mlimani anajua ndo kamaliza mwanza yote hajafika mitaa ya kahama,ilalila mwakalundi ,nyamadoke, nyamongolo kiseke ,nsumba ,maduka 9,tabasamu,nyegezi majengo nazani siku ukifika huko tu atakubali mziki
Balaa liko wapi? Weka picha.Ingekuwa ni balaa tungeona bloggers wanamtengenezea content,hakuna kitu huko mnajifariji upuuzi
 
Mjini Kati
Magufuli City
NCC Link

Hayo maeneo ya Mwanza uliyotaja ni vilinge vya wahuni na wachomeleaji.

Financial Districts/Centra Business District etc
Huko zaidi ya maofisi kuna nn cha maana CBD ni zaidi ya maofisi hapo haujaiweka UDOM hahaha na kwa taarifa yako vilinge vya wahuni ndo vinanogesha miji sio mji umepoa kama uji wa mtama uliolala unafaida gani
 
Vitoto vya 2000 bana sasa nani azurure kupiga picha ili akufurahishe ww tuache kutafuta pesa tukapige picha gorofa Mwanza haipo kuwaonyesha vipofu maendeleo yake ,maendeleo ya Mwanza yapo kwa wenye macho
Huyo aliyekudanganya Kwa nini hakupiga picha?
 
Huko zaidi ya maofisi kuna nn cha maana CBD ni zaidi ya maofisi hapo haujaiweka UDOM hahaha na kwa taarifa yako vilinge vya wahuni ndo vinanogesha miji sio mji umepoa kama uji wa mtama uliolala unafaida gani
UDOM ni satellite City sio CBD Wacha ujinga.

Maeneo hayo niliyoyataja ni CBD ambazo zinaendelea na zitakuwa na shughuli zote za biashara ndio maana kuna mahoteli,Kumbi za mikutano,migahwa na taasisi za Fedha,malls nk.

Sio mda utapenda mwenyewe yaani sio wewe unataka vichochoro na vijiwe unaita CBD 😂 😂
 
Vitu vingi kama veep ndugu ukiachilia idad kubwa ya watu
mwanza imeipita Arusha pakubwa tu, kwanza kimiundombino, Mwanza ipo katika njia kuu ya uchumi wa nchi (central corridor), ina uchumi wa bluu (uvuvu, usafiri wa meli, ufugaji samaki etc), mwanza ni makazinmwa matajiri wengi wachimba madini huko Geita (kwahiyo Arusha hamna maajabu na mererani kuwa jirani) , hatabkwa mandhari Mwanza inapendeza zaidi (hivyo mandhsri na uzurinwa Arusha hauna maajabu)

Arusha mna airport zenu ila Mwanza wanajenga Airport pia kwahiyo hakuna la ajabu hapo

Hata kiutalii Mwanza ipo karibu na mbuga muhimu kama Serengeti, pia Rubondonna nyingi kibao,

in short Arusha mna bahati mko karibu na kenya, serikali kihistoria imelazimika kuwekeza na kuipromote mno Arusha ili kuchallenge kenya isifaidike kwa vivutio vyetu vya kaskazini kama huko mwanzo ambako watalii walishukia Nairobi na kutalii hadi kwetu, serikali ikaona lazima waainue Arusha, pasina hivyo, Arusha ain't shit
 
UDOM ni satellite City sio CBD Wacha ujinga.

Maeneo hayo niliyoyataja ni CBD ambazo zinaendelea na zitakuwa na shughuli zote za biashara ndio maana kuna mahoteli,Kumbi za mikutano,migahwa na taasisi za Fedha,malls nk.

Sio mda utapenda mwenyewe yaani sio wewe unataka vichochoro na vijiwe unaita CBD 😂 😂
Ujinga unao ww unayeishi kwa kukalili shida ya kubishana na vitoto ndo hii
 
Sitegemei picha naona kwa macho uzuri nimeanzia kazi arusha nikahamia Dom now npo mwanza so aunidanganyi kitu na huko kote natembea sana na nna makazi ya kudumu
Kwao wanaoleya fix Huwa wanaona Kwa pua? Weka ushahidi
 
mwanza imeipita Arusha pakubwa tu, kwanza kimiundombino, Mwanza ipo katika njia kuu ya uchumi wa nchi (central corridor), ina uchumi wa bluu (uvuvu, usafiri wa meli, ufugaji samaki etc), mwanza ni makazinmwa matajiri wengi wachimba madini huko Geita (kwahiyo Arusha hamna maajabu na mererani kuwa jirani) , hatabkwa mandhari Mwanza inapendeza zaidi (hivyo mandhsri na uzurinwa Arusha hauna maajabu)

Arusha mna airport zenu ila Mwanza wanajenga Airport pia kwahiyo hakuna la ajabu hapo

Hata kiutalii Mwanza ipo karibu na mbuga muhimu kama Serengeti, pia Rubondonna nyingi kibao,

in short Arusha mna bahati mko karibu na kenya, serikali kihistoria imelazimika kuwekeza na kuipromote mno Arusha ili kuchallenge kenya isifaidike kwa vivutio vyetu vya kaskazini kama huko mwanzo ambako watalii walishukia Nairobi na kutalii hadi kwetu, serikali ikaona lazima waainue Arusha, pasina hivyo, Arusha ain't shit
Umemaliza kila kitu aisee kunywa Pepsi baridi nitaripa
 
Unaleta masimulizi badala ya facts 😂😂

Mapato ya Nchi Arusha namba 2 baada ya Dar,Mwanza imezidiwa Hadi na Tanga

Utalii wa Tanzania inaongoza na Arusha na Zanzibar,Mwanza haipo popote licha ya kujifariji na kusema eti uko karibu na hifadhini,ujinga.

Arusha ni namba 4 Kwa viwanda vingi Tanzania baada ya Pwani,Dar,Tanga.Mwanza haipo hata top 5 inazidiwa na Shinyanga.

Arusha Ina matajiri wengi wa.sekta za Utalii ,ndio maana inaongoza Kwa magorofa Tanzania nzima second to Dar.

Mwanza mungekuwa na matajiri tungeona Makazi ya magorofa mengi Sasa mnazidiwa na Arusha,Tanga, Kilimanjaro

Arusha Ina Airports yake achilia mbali KIA ambayo licha ya kuwa Kilimanjaro ila Ina serve Arusha Kwa 90% ,Mwanza hakuna kitu huko.

Giografia ya Arusha ndio inailazimisha Serikali na wengineo waje hapo na ipo katikati ya majijo Makuu ya biashara EAC.

Mwisho kitu pekee mnazidi Arusha ni Wingi wa maskini na samaki tuu .
 
Back
Top Bottom