Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

1000348140.jpg
 
Vipi kuhusu pwani na arusha ? Au arusha nae kapotezwa na ki pwani
Pwani ana enjoy ukaribu na Dar na Kwa taarifa Yako huo Mkoa unaenda kufutwa Kwa kuundwa Mkoa Mpya wa Rufiji na pia Baadhi ya Wilaya za Pwani kuwa Dar.
 
Duh! Hapo sasa itabid nikubaliene na mawazo yenu... maana sion mchangiaj hata mmoja aliyesema arusha inaizid mwanza
Arusha iizidi mwanza kwa jambo gani?.ukitoka arusha mjini kwenda kwa morombo umeimaliza,ukitoka Arusha mjini kwenda Tanapa pale majengo umeimaliza,ukitoka arusha mjini kwenda Tengeru umeimaliza,kule muriet ni kama uko vijijini kabisa,acheni Rock City kuilinganisha na walima bangi wa Arumeru nyie
 
Kwani Ukubwa wa Mwanza ni nini zaidi ya mkusanyoko wa mafukara? Kuna kingine?
 
Back
Top Bottom