Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

International Airport ya nyoko, shukuru ni yuke mzee. Kile ki lounge kikikuwa kama banda la kuku. Alafu mpaka leo hakuna international airline inasafari za huko mashenzini. Hakuna la maana.
 
International Airport ya nyoko, shukuru ni yuke mzee. Kile ki lounge kikikuwa kama banda la kuku. Alafu mpaka leo hakuna international airline inasafari za huko mashenzini. Hakuna la maana.
Hakuna ya nyoko
 
Watu wa Arusha wamebakiza maneno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha zimeisha wakati Mwanza Ndio kwanza zingine nyingi bado hawajarusha jaman
Mwanza tunatakiwa kulinganisha na Rwanda jamani
Kweli Mwanza mko juu, yaani hata kwenye kutembea, hatua moja ya mtu wa Mwanza ni sawa na hatua mbili za mtu wa Chugga!
 
Unaijua nyanzaga wewe kiboga?. Geita na GGM unazijua kweli??. Utasemaje daraja haliko strategic. Utakuwa mpumbavu mmoja shoga tu.
Achana na Nyanzaga, Fela inajengwa dry port kubwa na kituo kikubwa cha sgr, hii ndio njia ya mizigo ya Geita, Kagera, Uganda nk.

Wale watu wanaotumia ferry wataanza kutumia magari
 
Alafu hii sikuiona eti kwa ajaili ya watalii [emoji38]
International Airport ni gets lakuingia na kutoka nje ya nchi iwe kwasababu za kutalii,kimasomo,tafiti,government officials,diplomats nk.
Pata madarasa ya bure kutoka kwangu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…