Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mi mwanaume ujue, watu wa upinde mi sina muda nao, kama ungekuwa mwanamke sawa, lakini kwakuwa we ni mtu wa upinde pambana na hali yako.
Sorry bhana ujue ata sunk alijua weww ni mdada so nikajua utakuwa tom boy🙏🙏🙏🙏
 
Watakwambia 5 star hilo pagala hahaha, umekiona choo lakini? hahaaa. mwanza bana Arusha ndio waalimu wa hizi kazi.

arusha-villa.jpg
arusha-villa.jpg

Sasa na watu wa Arusha hapa wasemeje sasa ? Nipe sehemu mwanza kama haka kasehemu, na ni kakawaida sana Arusha, zipo chocho mpaka, mshamba yoyote wa mwanza aje hapa tu battle picha kwa picha ila asiwe yule kisebengo wa kuleta za freetown nitamuumbua.
Punguza maneno leta picha.
 
Hii mwanza ni nyumba ya mtu. Acha ujinga
 
Sehem natural hamn mwehu kutoka arusha aneza afford garama za hapo. Upepo wa ziwan saut za ndege bush life with Ibiza feelings [emoji41][emoji3]
We sio bure utakuwa na shida ya afya ya akili, yani Arusha mafarsii wa viota vya maana ndio we kibwengo wa mwanza ushindane? 🤣 🤣 Rejea picha nilizoweka post zangu za leo.
 
We sio bure utakuwa na shida ya afya ya akili, yani Arusha mafarsii wa viota vya maana ndio we kibwengo wa mwanza ushindane? [emoji1787] [emoji1787] Rejea picha nilizoweka post zangu za leo.
Kama hizo ndo picha za maan bas mnasafar ndef sana ya kwenda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Tushakupostia picha nying ambazo haitotokea arusha mkapata view kama hizo unless mje mwanza mpewe darasa.

Umesema wew ni mwanaume mbona naona umwanamke ndan yako.
 
Acha

Unarudiarudia mpaka inaleta mashaka. Hamjiamini au na we ni kama yule wa freetown. Mwanza bado jamani. Niacheni kwanza kwaresma nipotee nirudi kamili. Ila mpaka sasa, mmechezea sana tu.
Miaka 1000 view kama hizo. Mpka yesu arudi
20230307_201933.jpg
 
Kama hizo ndo picha za maan bas mnasafar ndef sana ya kwenda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Tushakupostia picha nying ambazo haitotokea arusha mkapata view kama hizo unless mje mwanza mpewe darasa.

Umesema wew ni mwanaume mbona naona umwanamke ndan yako.
Huyo sio mwanaume me namjua vizuri paqwa, ni mwanamke lakini ana DNA za kitomboy
 
Mi mwanaume ujue, watu wa upinde mi sina muda nao, kama ungekuwa mwanamke sawa, lakini kwakuwa we ni mtu wa upinde pambana na hali yako.
Why unasaundii kike kike au mwanatu punga[emoji3][emoji3] kama kweli wewe ni mwanaume kaza,, wewe ukifungiwa geto na lingosha kutoka sumve au mahaha lazma utoe jicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo sio Mwanaume nina uhakika kiongozi.
 
Back
Top Bottom