Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa mwanza shule za ghorofa zipo miaka na miaka mfano mwanza seko,mkolani etc pia now ndo usiseme mfano nyamagana shule zmejengwa maghorofa maana imebanana eneo ila Arusha hyo moja tu yenye rangi za ajabu mnacimba
Taja international schools za mwanza alafu nitaje za Arusha nikukate wenge chap.
 
Taja international schools za mwanza alafu nitaje za Arusha nikukate wenge chap.
Haters wanasema rock mall ni chuo [emoji28][emoji12][emoji12]
Ona international investors wanavyomiminika [emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Watu wa mwanza bana, bila hiyo takataka mwanza ni kitongoji tu
Wivu [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Arusha Mall hii ni mall mpya jamani achana na ile ya Aim mall, haya sukuma people leteni yenu ukiachan na rock city mall
 
Kama mnajengewa hiki kibanda Bora hata msijengewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...... Hakuna tofauti na Nyerere road plaza
Bora nyerere plaza inavioo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hio arusha mall imekaa kama nyumba za kale
 
Arusha Mall hii ni mall mpya jamani achana na ile ya Aim mall, haya sukuma people leteni yenu ukiachan na rock city mallView attachment 2544517
By the way chukua hicho kibanda chako changanya na Banda lingine linalojiita aim mall bado hamwifikia rock city mall Kwa ukubwa hata nusu yake ,,hamtoshi ...rock city inabeba malls nne size ya aim mall na kubaki chenji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa. washamba wa mwanza bana, mnashangaa mataa?? alafu huyo Albert G Sengo game kajifunzia Arusha, ujanja wote alionao ni wa Arusha ilipo familia yao.
Ndio kaja kushangaa mwanza na Kagoma kurudi migombani.
 
Nahitaj project under construction sio michoro mkuu ..mana hata Arusha mchoro kam huu upo ukitaka nakuletea
Ya kwako Iko wapi maana tunaona matangazo tu ....,,,,,[emoji12]..kwanza usijichoshe kuleta mabanda hapa ..maana vibanda center kama hvyo ,,,sio vya kuleta humu ni kujiabisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…