Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sijawai kukataa. Mwanza kitu pekee inaizidi Arusha ni wingi wa mazuzu. Kweli yanazaa hayo mashamba. Ila vingine vyote wanazidiwa na Arusha tena mbali sana.
Kwamba, wale watu wa Sokon 1 na 2, Bangata, Sambasha, Kimnyak, Elerai, Sinon ni wajanja...?!
 
Kwo Nyakato huko ndo kwa kishua Ujue mim nawapostia sehemu kama MOSHONO,Sinoni ,sombetini ...sijataka niwapostie Burka Estate ,Gomba Estate ,USA river ,Uzunguni n.k
Usa River sehemu gani...?! Manyata, Nganana...?! Ngarasero, Majengo au Kisambare...?! Magadini, Esotu ndio pa kishua...?!

Burka Estate kwamba ni kwa kina Mollel au kuna watu wengine...?!
 
Sehemu gani hujafika Arusha...?! Arusha hakuna sehemu sijafika hadi Olokii, Mirongoine...
 
Check mlivyo washamba Sasa Arusha bandari itokee wapi wakati hatuna bahari au ziwa kubwa kama vickitoria,? Hiv ndio akili zenu za kisukuma zilivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmesema mnakila kitu. Don't panic bro. Kwan nyie mnamlima gani?
 
Sema nini humu naona watu mnatukana matusi hii sio fea kabisa ,hii sio vita wandungu wote watanzania ..vile vile watu wanaofatilia humu ni Rika tofauti sio vijana pekee ..tuishi kwa Amani wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…