Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha utani aisee, yaani wale watu wa Mwandeti, Losikito, Olkokola huko Oldonyosambu, Olkajolendiriti, Lemanda ni wajanja...?!
Sana, wameanza kuona maghorofa, magari, wazungu, na vitu vingi sana kabla ya waskuma wa mwanza, sijui bwiru, sijui wapi, ambao bado wanauana kisa mapenzi na uchawi mpaka jana.
 
Sema nini humu naona watu mnatukana matusi hii sio fea kabisa ,hii sio vita wandungu wote watanzania ..vile vile watu wanaofatilia humu ni Rika tofauti sio vijana pekee ..tuishi kwa Amani wakuu
Tatizo mwenzako anapenda sana maneno ya kejeri na zalau kwa watu wa mwanza nimeona nimtolee uvivu hana point
 
Sana, wameanza kuona maghorofa, magari, wazungu, na vitu vingi sana kabla ya waskuma wa mwanza, sijui bwiru, sijui wapi, ambao bado wanauana kisa mapenzi na uchawi mpaka jana.
Watu wa Mirerani wa Madini vipi...?! mara ngapi wanapigana marisasi...?! ukiona mzungu wewe ni mjanja...?! mwaka gani waliona maghorofa na Mwanza havikuwepo...?!
 
Unaongea sana..ila vitendo hamna
Special flight [emoji116][emoji116]View attachment 2547529

Sent using Jamii Forums mobile app

Sisi tunavyo vingi sana, vitu vya zamani sana. Alafu tunaona kawaida.
 
Watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii ila huwezi ona hata mtalii mmja akishuka airport Yao 🤪🤪🤪🤪

Mafuriko ya Watalii Arusha 👇
 
Wew ni mwehu.Uzazi wa mpango unafaida gan
 
Sana, wameanza kuona maghorofa, magari, wazungu, na vitu vingi sana kabla ya waskuma wa mwanza, sijui bwiru, sijui wapi, ambao bado wanauana kisa mapenzi na uchawi mpaka jana.
Kuona magorofa, magari na wazungu ndo ujanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuona magorofa, magari na wazungu ndo ujanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Exposure mzee. Ushamba mwanza ni mwingi sana. Ndio maana bado hadi leo 2023 mnashangaa maghorofa. Mmechelewa sana.
 
Watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii ila huwezi ona hata mtalii mmja akishuka airport Yao [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Mafuriko ya Watalii Arusha [emoji116]
Aiseee watalii wanapanda precision [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo mwenzako anapenda sana maneno ya kejeri na zalau kwa watu wa mwanza nimeona nimtolee uvivu hana point
Afu bado nakukula tu za uso. Mshamba, matusi yenyewe umejifunza uzeeni. Ukishindwa game tulia, umepanick, mshamba wa mwanza, nenda kapige picha rock city mall uje utambe mpo juu ya Arusha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hilo Lamborghini la mchongo mwanza hamna?
Alafu la zamani sana, tuoneshe la mwanza, mtaishia kuziona kwenye google au mkija Arusha au dar. Nyie tunawauziaga Magari mabovu. Yale yalioshindikana tunatafuta mskuma tunamtupia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…