Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wee jamaa punguza uwongo,hiyo nyumba ya pili ipo Salasala jirani na kwa aliyekuwa CDF ipo nyuma ya
Last point Bar.
Ata vegetation huoni? Arusha na dar ndio majiji proper in the real sense of that word.
 
Picha ya kwanza ni uwongo,hizi zipo Kinondoni
Kama sio Arusha sema ni wapi kwa evidence, mbona Arusha si tushazoea, ata tukienda dar hatushtuki kama nyie watu wa mwanza, shamba ciry
 
Ata vegetation huoni? Arusha na dar ndio majiji proper in the real sense of that word.
Muhusika amejua fika kuwa nimemkamata na picha zake za uwongo,unaleta mijengo ya Dar unasema ni Arusha? Mwambie abishe nilete hiyo nyumba tena picha kabeba kwa kina Dalali kiongozi kule Instagram hiyo nyumba ilikuwa imewekwa sokoni inauzwa.Leteni uhalisia na siyo kuanza kutupiga kamba hapa.
 
Leta evidence acha kelele. Mimi nilimpopoa mtu wa mwanza kaweka picha za freetown na nikaleta link. Hiyo ni Arusha. Mmechezea hamuelewi pakutokea🤣🤣🤣 ndio mjue nyie ligi ndogo sana.
 
Hamna picha nilotoa Kwa dalali kiongozi mkuu ,huku Chuga Kuna Villas za mana
 
Mtaua wenzenu. Mimi kama refa nasemaje, nasemaje. PAMBANO LIMEISHA. MWANZA KAPIGWA K. O.
Mijengo ya Arusha hiyo[emoji23][emoji23],punguzeni uwongo.Haya nenda kaone huo mjengo ulipo halafu urudi tena hapa na story zako za 'vegetation'
 
Limeisha.
[emoji3][emoji3][emoji3] mwambie huyo aliyetaka kutupiga kamba,aache.Ataumbuka vibaya sana.Unataka nilete na zile za Kinondoni kazipachika Arusha [emoji3][emoji3]
 
Hakuna ata nyumba ya maana. Kwanza mvua ya maana ikipiga panaonekana dimbwi.
Wewe ni hodari wa kukosoa uandishi wa wengine,kumbe hata wewe ni yale yale.Inaandikwa 'hata' na siyo 'ata' hebu jifunze matumizi ya herufi h kwanza [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…