Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Duh picha moja imetumwa na watu 10 ..mbon sisi watu wa Arusha atuko hivo
Angalia bwiru ilivyo kubwa... vipi kama nikileta picha ya nyumba moja moja huko bwiru

Na bwiru ni ndogo kieneo tukiwaletea aerial view ya kiseke,nyasaka,buswelu,ibanda,nyegezi majengo mapya,shamaliwa,nyamhongolo,monarch,minazi mitatu si mtakimbia humu[emoji1787][emoji1787]
 
Yani hapo sasa si pamezidiwa ata na tengeru 🤣🤣 nini hicho? Nyumba zenyewe mbili, mwanza wanatia huruma, yani mtu anatamba na hiyo takataka kabisa? 🤣
 
Leta evidence acha kelele. Mimi nilimpopoa mtu wa mwanza kaweka picha za freetown na nikaleta link. Hiyo ni Arusha. Mmechezea hamuelewi pakutokea🤣🤣🤣 ndio mjue nyie ligi ndogo sana.
Punguza kuongea sana mtoto wa kiume, na kama ni wa kike sawa, nakushauri tumia zaidi picha kuliko maneno, utakuja kuvishwa shela shauri yako.
 
Punguza kuongea sana mtoto wa kiume, na kama ni wa kike sawa, nakushauri tumia zaidi picha kuliko maneno, utakuja kuvishwa shela shauri yako.
Mzee wa leta picha 🤣🤣mmenyooshwa huko mnalialia, kwani wanawake sio watu? Kuongea hakuna jinsia.
 
Sasa hapa Pana ukubwa gani?! Mbna unapend kuweka vitu kweny hamna ...tuma picha za mijengo acha janja janja
 
Twende taratibu kijana,,,, tuma picha za nyumba zenye hadhi hapo arusha na mimi nitatuma za Mwanza naona kama unataka kucheza na moto

Angalizo; tuma picha kali aisee sio hizo [emoji1787][emoji1787]
Nishakwambia maneno kidogoo ,vitendo zaidiii ...wewe tuma tuoneshane maukali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…