Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Attachments

  • Screenshot_20230313-184730_Chrome.jpg
    39 KB · Views: 4
Hivi bado tu mnaicompare Mwanza na kijimji cha arusha! Airport yenyewe hawana wanakimbilia kia dahh.

Dar
Mwanza
...
...
...
...

Mjadala ufungwe,
 
Wao mwisho wao wa maarifa ni dar, wakati arusha na dar almost the same except size na population mwanza ndio sio mjini
Who told you. Kama unaleta picha za dar ukisema ni za arusha means target yenu ni kuwa kama dar. Mwanza inajifunza kwa kila sehem [emoji3]
 
Mzee wa leta picha 🤣🤣mmenyooshwa huko mnalialia, kwani wanawake sio watu? Kuongea hakuna jinsia.
Kama ni mwanamke hakuna noma lakini mtoto mzuri ili battle si la maneno tu bali na picha na evidence
 
Wao mwisho wao wa maarifa ni dar, wakati arusha na dar almost the same except size na population mwanza ndio sio mjini
Tayari kuna difference kwenye size na population. Unasemaje sasa ni almost the same[emoji38][emoji38]
 
Hahhaaa aise, mtu na akili zake timamu anatuambia arusha ni zaidi ya mwanza [emoji1]
Wew toka umekua na akili umesikia kuna cha mwanza, cha singida, cha dar why cha arusha [emoji3].Ni watanzania wenzetu tunajua wanabuy time tunawaenjoy
 
Arusha GDP yake imezidiwa hata na Morogoro ndo ya kuifananisha na Mwanza kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…