Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mkuu tunasemea maghorofa....Majengo yako ya aina nyingi hata nyumba ya udongo nayo ni jengo
Umekimbia kwenye majengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyasaka
SHA_20220713_180018319_8.4.400.jpg
 
Sensa jengo lolote leny floors lilihesabiwa kama gorofa ata kama ni la udongo [emoji3]
Ujamwelewa mwana hapo juu alisema mkoa wenye maghorofa bro...kwo hata nyumba unayokaa sio jengo?! Sasa kwa Mujibu wa Sensa mkoa wenye Maghorofa mengi Ni Dar ,Aru na mikoa Mingine inafata.

Ila kwa upande wa Majengo mkoa unaoongoza ni Dar ,Mwanza ,Dom na mikoa Mingine inafata ,mantiki hii ni kwamb hata mimi nikijijengea pango langu nalo litakuw ni jengo
 
Nyie ndo hamjaelewa wapi tunatoka wapi tunaenda. Mwenzio kaleta inshu za hardware nkamwambia mwanza ndo sehem inayoongoza kwa majengo yanayoendelea na ujenzi 60+K tafsir ni sehem yenye matumiz makubwa ya hardware
 
Kaulize makaran wa sensa walitumia criteria ipi kusema hili ni gorofa alaf uje kubisha.
 
Nyie ndo hamjaelewa wapi tunatoka wapi tunaenda. Mwenzio kaleta inshu za hardware nkamwambia mwanza ndo sehem inayoongoza kwa majengo yanayoendelea na ujenzi 60+K tafsir ni sehem yenye matumiz makubwa ya hardware
Kwani ujenzi wa Majengo yote Kuna blocks ?! Je kama mtu anajenga kibanda ,nyumba ya udongo nae anahitaji hard ware?
 
Back
Top Bottom