herileokulikokesho
Member
- Nov 2, 2016
- 37
- 21
🤣🤣🤣🤣Kitu hicho malaikaView attachment 2549553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kitu hicho malaikaView attachment 2549553
Yapo wapi hayo maghorofa?Ndio maana mmezidiwa majengo ya kisasa na maghorofa, rejea takwimu za NBS. Mwanza mnaotaga eeh
NyasakaMijengo [emoji92]View attachment 2549589
Nyasaka [emoji95]Mijengo [emoji92]View attachment 2549595
Utasikia wanasema ... mwanza hamna dual carriage [emoji28][emoji28]Mijengo [emoji92]View attachment 2549595
Au arusha maghorofa yalihesabiwa hivi;Mkuu tunasemea maghorofa....Majengo yako ya aina nyingi hata nyumba ya udongo nayo ni jengo
Zipo Hadi hardware za kufany la recyclingHardware kweny ujenzi ni nini?
Arusha hii haitakuja kuifikia Mwanza ata miaka 100, labda mwanza isimame ya ipigwe mabomu ya nuclear.Lete takwimu arusha inamajengo ya kisas [emoji23]View attachment 2549547
Ndio maana mmezidiwa majengo ya kisasa na maghorofa, rejea takwimu za NBS. Mwanza mnaotaga eeh
Kwamba karani hawana ujuzi au mbona unataka kukaza fuvu nilichokuja kugundua ni kwamba nyie watu wa Mwanza ni mnabishana. Sio kwamba mnaenda kwa fact ...Au arusha maghorofa yalihesabiwa hivi;
Wasiwasi wangu ni huu.
Mfano kuna jengo la tba pale Arusha lina ghorofa 10 na kaya zaidi ya 500 mle ndani.
Sasa karani inawezekana aliandika kila kaya inaishi kwenye nyumba ya ghorofa,
Kwa hiyo hapo tu wakapata ghorofa 500 wakati ni jengo moja.
Najaribu kuwaza tu, kwasababu nimeishi arusha sijawahi kuyaona hayo maghorofa, hapo cbd ghorofa haziidi 200 je hizo 7000 zipo wapi? Mwanza hizi takwimu zimetuhujumu nauhakika tunafikisha ghorofa 12,538 kulingana na report za majengo mkoa wa Mwanza, wanakaskazini mlivyo na sifa na sijui mtakwimu alikuwa na mtu wa kaskazin akaona hawaburudishe na nyie.
Mwanza ni jiji kubwa hapa EA, na endeleeni kulishwa ujinga wa idadi ya maghorofa fake.
Lile jengo la bot ya zamani lilikuwa zuri zaidi sema mission walitaka jengo lao, na lilikuwa na muundo kama wa hosp ya bugando.Cheki huyu
Ilikuwepo Toka zamani ikiwa na jengo kama Hilo lenu bovu ndo ikahamia penyewe patamu
Mdomo bila picha ni upumbavu tu, leta hayo majalala yenu tuyaone.Kwo conference yenu mnafanya malaika?! Duh kweli Mko nyuma ..nasisi tukiamua kupost conference centre za kibo palace, Gran Melia? Duh kweli Bado Mko nyuma
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..au walikuwa wanahesabu floor..Au arusha maghorofa yalihesabiwa hivi;
Wasiwasi wangu ni huu.
Mfano kuna jengo la tba pale Arusha lina ghorofa 10 na kaya zaidi ya 500 mle ndani.
Sasa karani inawezekana aliandika kila kaya inaishi kwenye nyumba ya ghorofa,
Kwa hiyo hapo tu wakapata ghorofa 500 wakati ni jengo moja.
Najaribu kuwaza tu, kwasababu nimeishi arusha sijawahi kuyaona hayo maghorofa, hapo cbd ghorofa haziidi 200 je hizo 7000 zipo wapi? Mwanza hizi takwimu zimetuhujumu nauhakika tunafikisha ghorofa 12,538 kulingana na report za majengo mkoa wa Mwanza, wanakaskazini mlivyo na sifa na sijui mtakwimu alikuwa na mtu wa kaskazin akaona hawaburudishe na nyie.
Mwanza ni jiji kubwa hapa EA, na endeleeni kulishwa ujinga wa idadi ya maghorofa fake.
Umeenda hadi YouTube kuhakikisha kweli umeumia sana[emoji1787]Kumbe hii BOT imezinduliwa juzi na samia..mwanzoni haikuwepo
[emoji1787]
Vipi umeishiwa mijengo huku nyasaka bado inakuwait[emoji3]Kwamba karani hawana ujuzi au mbona unataka kukaza fuvu nilichokuja kugundua ni kwamba nyie watu wa Mwanza ni mnabishana. Sio kwamba mnaenda kwa fact ...
Mijengo..usisahau kuweka na majina ya mtaa...Mijengo [emoji92]View attachment 2549659View attachment 2549661
Hizo takwimu kawaaminisheni wapumbavu wenzenu au wapenda siga wenzenu, wakazi wa mwanza au natives of rock city ni watu wa IQ kubwa kuliko sehemu yoyote hile, huwa hatubase kwenye porojo za kugushi, na data uchwara.Kwamba karani hawana ujuzi au mbona unataka kukaza fuvu nilichokuja kugundua ni kwamba nyie watu wa Mwanza ni mnabishana. Sio kwamba mnaenda kwa fact ...
Nyasaka [emoji95] [emoji95]Mijengo [emoji92]View attachment 2549659View attachment 2549661