Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hakuna jengo lililoridiwa ni design ya majengo tu yamefanana kidogo, leta tujumba.twa lagos na dar, coz hapo Arusha hakuna kitu na nyumba za makuti na mitete.
Kama hizi
Screenshot_20230302-214341_YouTube.jpg
 
Huku zipo nying sanaaa mda wa kuzunguka ndo nakosa kaka
Mimi nimekuletea picha za njiani[emoji3] hapa nyasaka nikiamua kuzunguka kupiga picha lazma ukimbie.

Angalia hii aerial view ya nyasaka niljipiga kwa kutumia simu umbali wa km 2+

Nikienda huko chini kupiga picha nyumba moja moja humu mtakimbia
20230110_173956.jpg
20230110_173612.jpg
 
Mimi nimekuletea picha za njiani[emoji3] hapa nyasaka nikiamua kuzunguka kupiga picha lazma ukimbie.

Angalia hii aerial view ya nyasaka niljipiga kwa kutumia simu umbali wa km 2+

Nikienda huko chini kupiga picha nyumba moja moja humu mtakimbiaView attachment 2549717View attachment 2549718
Aah We kama hata moja moja we piga tu usiogope ...madam na mim sijamua kuingia location we piga
 
Me huniwez na wala hamtaniweza, kwani hapa tunaelimishana na nini yaani jiji la Mwanza liige nini hapo Arusha, na hapa wote tupo kwaajili ya ligi kama haupo kwaajili ya battle umekuja kutafuta nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom