Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wale tumbili wa Mwanza watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii ila huwezi ona mgeni hata mmja 😁😁😁😁

Arusha
 
Mtu anapost picha za dar halafu anatuambia ni arusha!! Hata aibu hamna!!
 
Sasa takwim haija specify ni Majengo ya aina gani ..Kuna watu wanajenga vibanda nayo pia ni Majengo ....tunataka idadi ya maghorofa
Wew hyo ya maghorofa imespecify maghorofa Gani .maana hata magofu yaliyoachwa na waarabu nayo ni maghorofa [emoji28][emoji28]
 
Wew hyo ya maghorofa imespecify maghorofa Gani .maana hata magofu yaliyoachwa na waarabu nayo ni maghorofa [emoji28][emoji28]
Yes ni maghorofa ndio mana yamewekwa hapo kwa maghorofa miaka 100 hamtaka muikute Arusha asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…