KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Watu wa Arusha ujuaji mwingi mno hawakubaligi watu wangu wa mwanza tuwaacheni TU hao watu ukanda na ukabila umewatawala sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unatuma picha za dar?Brother Hizi tu nazo kutumia sio sehemu za kishua ,ni ushenzini tu still..si mlitaka vitu vikali chuga hivi hapa mnavipata...NB hapa ni Sombetini Yan ushenziniView attachment 2546940View attachment 2546941View attachment 2546942View attachment 2546943
Maeneo adventurous kama hayo yanapatikana Europe na America nadra sana kuyapata Africa...and that's mwanza
Waulize hiyo bei wanaweza?Maeneo adventurous kama hayo yanapatikana Europe na America nadra sana kuyapata Africa...and that's mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale tumbili wa Mwanza watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii ila huwezi ona mgeni hata mmja 😁😁😁😁
Arusha
Kumbe nawe mwanangu sio mbna unapost nyumba za darBrother Hizi tu nazo kutumia sio sehemu za kishua ,ni ushenzini tu still..si mlitaka vitu vikali chuga hivi hapa mnavipata...NB hapa ni Sombetini Yan ushenziniView attachment 2546940View attachment 2546941View attachment 2546942View attachment 2546943
Takwimu zinawabeba Arusha [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2557842
Sasa takwim haija specify ni Majengo ya aina gani ..Kuna watu wanajenga vibanda nayo pia ni Majengo ....tunataka idadi ya maghorofaTakwimu zinawabeba Arusha [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2557842
Wew hyo ya maghorofa imespecify maghorofa Gani .maana hata magofu yaliyoachwa na waarabu nayo ni maghorofa [emoji28][emoji28]Sasa takwim haija specify ni Majengo ya aina gani ..Kuna watu wanajenga vibanda nayo pia ni Majengo ....tunataka idadi ya maghorofa
Yes ni maghorofa ndio mana yamewekwa hapo kwa maghorofa miaka 100 hamtaka muikute Arusha aseeWew hyo ya maghorofa imespecify maghorofa Gani .maana hata magofu yaliyoachwa na waarabu nayo ni maghorofa [emoji28][emoji28]
Tunahitaji mandhari kama haya [emoji116]Tunahitaj vitu virefu vinavochomoza kama hiviView attachment 2558115
Hii wataipita shwaaaTakwimu zinawabeba Arusha [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2557842