Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wanapiga mzigo gani? Niambie hotel moja au kiwanda au kitu chochote kikubwa cha mchaga kanda ya ziwa ili nisibishane na wewe tena
Wewe endelea kuvua sato na sangara tu mambo ya uwekezaji tuachie sisi kaskazini
 
Makasiriko yote haya Kwa sababu Arusha inawanyea au umenyimwa tundu kubwa? 🀣🀣🀣🀣
Hahaha yani jamaa amepanick ni balaa, kama mungekuwa karibu aise angekumeza, ndio tatizo la hawa ndugu zetu wakishazidiwa wanaleta asira zao za kusukuma na ushamba mwingi wakati dada zao wakija town hawataki tena kurudi shamba.
 
Na hapo ndio mwanza inatake advantage kwa kufanya biashara na miji yote ya kanda ya ziwa, na miji mikubwa kama, kampala, kisumu, kigali, bujumbura na miji ya congo.
Mwanza inafanya biz gani na iyo miji,? Kuuza dagaa? Em tujuze mkuu
 
Mwanza inafanya biz gani na iyo miji,? Kuuza dagaa? Em tujuze mkuu
Nyie si east Africa capital city..mbona sioni bussines transit kwenda hata hapo jirani yenu naivasha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]zaidi ya kuuzΓ  mahindi ya mbulu na kiteto [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]
True meaning ya great lake hub
 
Wewe endelea kuvua sato na sangara tu mambo ya uwekezaji tuachie sisi kaskazini
Mmefanya uwekezaji gani mbona nyenye nyenye nyingi nambie kuwa mwanza kuna hiki na hiki na kile cha watu wa kaskazin nitakuelewa.
 
Hahaha yani jamaa amepanick ni balaa, kama mungekuwa karibu aise angekumeza, ndio tatizo la hawa ndugu zetu wakishazidiwa wanaleta asira zao za kusukuma na ushamba mwingi wakati dada zao wakija town hawataki tena kurudi shamba.
Hakuna msukuma mwenye kutak kuja kuishi arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…