Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watu wa Mwanza niliwambia baada ya kufa Jiwe Arusha ujenzi umerudi ...hili ni moja wapo ya jengo lililosimama ujenzi wakati wa utawala wa Jiwe View attachment 2579770
Sasa hapo Jiwe alihusika vipi? Mbona makao makuu ya Posta africa yalianza ujenzi sakati wa jiwe?
Mbona huo ujenzi ni wakawaida tu hapo sioni maajabu!
Arusha ni mji wa kimataifa kwa mda mrefu na ulipaswa uwe mbali sana kuizidi Mwanza!
Lakini tofauti na majengo hapo mjini kati sehemu kubwa ya mji wa arusha hauna nyumba kali kama Mwanza!
 
Atolee wapi zaidi ya maneno tu.
Wachaga Mwanza wapo lakini huwezi kusema eti ndio wawekezaji wakubwa!
Mji wa Mwanza kwa sehemu kubwa inajengwa na watu wa Geita,Tarime na Kahama ambao wamejikita kwenye mining industry ambayo mchaga hupo kidogo sana!
Ukiangalia hata vituo vya mafuta utalipata jibu sema wenzetu wanatakaga kila mji mzuri waonekane wao wanaujenga!
Mfano Kahama wawekezaji pale ni wasukuma,waha na wahaya lakini utakutana na mangi anasema kahama madong ni wao!
 
Endeleeni niwashindanishe na nyegezi nasubiri huzo project zenu, nikutoka nyegezi naenda Buzuruga, nikitoka hapo ni Ghana, baada ya hpo ni neighbourhoods, nikitoka hapo nakuja kuwazika na projects za CBD.
 
Hao huwa wapenda sifa tu hakuna lolote, Mwanza naijua yote na hakuna chocho itanichenga ndio maana nauhakika kabisaa mwanza hakuna huwekezaji wowote uliofanywa na mchaga, Mwanza inainuliwa na wahindi, wasukuma, wakurya na wahaya.
 
Wachaga Wewe hauwajui wanatakaga waonekane wao ndio wanamaisha tupo nao hapa Dar tiamajitiamaji nyingi watakwambia Dar hii wachaga ndo wenye hela! Ulimwengu ulishabadilika!
 
Wachaga Wewe hauwajui wanatakaga waonekane wao ndio wanamaisha tupo nao hapa Dar tiamajitiamaji nyingi watakwambia Dar hii wachaga ndo wenye hela! Ulimwengu ulishabadilika!
Me siwezi jua nguvu yao lakini huku kanda ya ziwa, mchaga hana tofauti na mzaramo.
 
Hao huwa wapenda sifa tu hakuna lolote, Mwanza naijua yote na hakuna chocho itanichenga ndio maana nauhakika kabisaa mwanza hakuna huwekezaji wowote uliofanywa na mchaga, Mwanza inainuliwa na wahindi, wasukuma, wakurya na wahaya.
Miaka ya nyumba walikuwepo wengi ila jamii zinabadilika sana! Saizi wanafanya biashara ambazo Masanja na Marwa anafanya pia!
Wanaukabila sana hao mbwa!
 
Miaka ya nyumba walikuwepo wengi ila jamii zinabadilika sana! Saizi wanafanya biashara ambazo Masanja na Marwa anafanya pia!
Wanaukabila sana hao mbwa!
Zamani nilikuwa nawaona wengi wanauza kwenye viosk yaani maduka ya rejareja wakiwa wanapiga magendo na biashara hatamu chini ya kapeti lakini miaka ya hivi karibuni siwaoni kabisa, nawaona waha ndio wameshika hatamu kwenye viduka vya rejareja,
 
Aliua Utalii wa Kaskazini
 
Aliua Utalii wa Kaskazini
Kusimama ujenzi ni hali ya kawaida! Magufuli ametawala miaka 5 usimsingizie sana! Tokea uhuru mji wenu umebebwa na tasisi za kimataifa tu hauna maajabu!
Ndo maana hata majengo mengi makubwa arusha ni mashirika ya kimataifa au ya ndani kama NSSF,NHC,NMC nk!
Lakini ukitizana maeneo jirani na majengo hayo madhari ni mbovu tofauti na Mwanza! angali hiyo ni bwiru nipe mtaa arusha kwenye mandhari hiyo uliojengwa na watu binafsi isiwe NHC au Watumishi House?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…