Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Fungua thread ya dodoma vs Arusha hapa ni Arusha vs Mwanza ....hii ndio tofauti ya wasukuma na watu wa Arusha developed city ilipo
Mwanza sio level ya vizizi vya watu laki laki kama njombe..tushatoka huko kitambo..
[emoji1787][emoji1787]
Level yetu ni milioni+ ..kama huna pop hyo don't battle us utaumia [emoji116]
Proposed construction of Mwanza city mall to be built in nyamagana municipal.. mwanza city council

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hazifunguki...sasa Arusha kuhusu malls huku zipo zaid ya 5 labda ulete vitu vingine
 
Picha hazifunguki...sasa Arusha kuhusu malls huku zipo zaid ya 5 labda ulete vitu vingine
Mbna mnazid kushuka na vip kusingekuwa na promotion ya utalii hiv kumbe mngezidiwa na singida eeeh maana, mji wa Masai wamekimbilia porin kuchunga mmebaki kalaki na sio kamilion
 
Arusha Airport hiyo inapanuliwa ..Jiwe amekufa kaskazin sasa imefungukaView attachment 2592651
Ametawala miaka mitano TU ulitaka Kila kitu amalize yey au ukabila na roho mbaya zenu juu ya lake zone znawasumbua sana,

Actually huwez Kuta msukuma anafanya biashara huko labda kaajiriwa maan ukabila umewajaa mtu kutoka mikoa mingine hapat wateja,, this is madness
 
Wasukuma kibao wamejaa Arusha ase na wanafanya biashara wengine waneajiriwa
 
Busan 😁😁🀣🀣🀣🀣
 
Wasukuma kibao wamejaa Arusha ase na wanafanya biashara wengine waneajiriwa
Uongo mkubwa mnaukabila mno na roho mbaya sana hakuna asiye wajua wachaga ukifungua biashara hko labda upitie mgongo wa mchaga aonekane mmiliki lakin bila hivo ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…