Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Harafu anatoka Mwanakijiji huko Nyehunge anakuja kulinganisha Arusha na mwalo wa Mwanza 🤣🤣

Chuga is on 🔥🔥
 
Leo nimeamini kwanini mwanza inaongoza kwa majengo mapya

Nimezaliwa mwanza,nimekulia mwanza,naishi mwanza nipo mwanza muda huu

Leo nimejaribu kwenda mwisho kabisa wa jiji la mwanza aiseee!!! nimeshangaa kuona mjengo mingi isiyo na watu. watu wamejega wakasepa hakuna mabarabara,vituo vya afya,wala bodaboda,maduka,kituo cha police wala soko

Vijana pesa zipo tupambane,nilishindwa kufika huko mbele sababu ya ubovu wa mabarabara

Nilipata mwenyeji,hii picha nilipata ka mwinuko ikanibidi nipate ka picha ka kumbukumbu[emoji1787][emoji1787]

Kutoka huku hadi buhongwa ni zaidi ya km 50+ ila proArusha kazi mnayo[emoji3]
 
Aisee una camera Kali .... endelea kutupa raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…