Dodoma ni kama prince π€΄ hata kama bado hajakua ila tutake tusitake iko siku atakua mfalme tu arusha itabaki na ladha yake ya kipekee ya utalii, mwanza itaendeleq kuwa jiji la pili kwa watu wengi na dar itaendelea kuwa mji mkuu wa kibiashara ila dodoma ndio makao makuu yetu rasmi kwa sasa imagine sehemu anaishi raisi bado balozi zote hazijaamia huko tukiacha ubishi wa kishamba nunueni ardhi dodoma mapema msije jutiaπ
Dodoma ni kama prince [emoji1780] hata kama bado hajakua ila tutake tusitake iko siku atakua mfalme tu arusha itabaki na ladha yake ya kipekee ya utalii, mwanza itaendeleq kuwa jiji la pili kwa watu wengi na dar itaendelea kuwa mji mkuu wa kibiashara ila dodoma ndio makao makuu yetu rasmi kwa sasa imagine sehemu anaishi raisi bado balozi zote hazijaamia huko tukiacha ubishi wa kishamba nunueni ardhi dodoma mapema msije jutia[emoji3]
Kumbe hata hujui kuwa Abuja ipo kati kati mwa nchi ya Nigeria?! ,nikufahamishe tu ya kwamba Mkakati wa kuifanya Abuja kuwa mji mkuu ilitokana na dodoma
Kumbe hata hujui kuwa Abuja ipo kati kati mwa nchi ya Nigeria?! ,nikufahamishe tu ya kwamba Mkakati wa kuifanya Abuja kuwa mji mkuu ilitokana na dodoma
Acheni mabishano ya kishamba ππ mi napakubali dom na arusha pia napakubali hii thread ilikua ni ya mwanza vs ar ...ila kiusema ukweli maza asingeshika nchi arusha ndio tulikua tumeipoteza ivoππ miji yote itakua poa tu kama capetown na durban au Washington na Chicago though dodoma currently inapotential kubwa ziadi na ikumbukwe bado ofisi zote hazijaamia rasmi ujenzi unaondelea unaleta multiplier effect kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja dodoma bila kusahau namna bora zaidi mji ulivyopangiliwa ila tusidharau population ya arusha ya watu zaidi ya 600000 kwenye sqkm 200 tu dodoma ina watu 700000 kwenye sqkm2000 kama serikali watakua serious kwenye azma yao ya kuleta watalii 5 million kwa mwaka na tunavyojua zaidi ya asilimia 80 ya watalii wote nchini wanapitia arusha basi naiona arusha ikitupromise future nzuri ila bado kwa miudombinu naiona ikiachwa na dodoma labda sera ibadilike ya mkoa husika kutumia makusanyo yake kujijenga yenyewe bila kupeleka serikali kuu ikumbukwe arusha ni ya pili kwa makusanyo nyuma ya dar na kama makusanyo yake yangetumika kuijenga arusha only basi ingekua ulaya iliyoko huku kwetu... ila wanaarusha mshukuru serikali hii π japo kidogo kwa namna inavyoupa kipaumbele mkoa wenu mikutano imerudi arusha kwa spidi ya ajabu plan ya kujenga mkicc na uwanja mpya wa michezo kuhost afcon kidogo inatia matumaini kwamba hamjasahaulika kabisa otherwise mngepotea kabisa nadhani tusubiri ofisi zote zihamie dodoma na ujenzi ukamilike tuone what dodoma has to offer us
NB: si lazima dodoma ikue kwa spidi ile ya Daresalaam ukizingatia maendeleo ya technologia kuna vitu kama emails na video conferencing ambapo si lazima watumishi wawe wanaenda makao makuu mara kwa mara lakini pia uboreshwaji wa miundominu kama sgr inavyojengwa watu wanaweza wakaenda moro au dar kwa haraka na huduma za jamii kwa kila kanda mfano hospitali ambapo si lazima kila raia aende mji mkuu so tujipe mda ila tupate conclusion ila kwa spidi ya dodoma inatupromise kitu labda kama itapungua baada ya ujenzi wote kukamilika japo bado kuna changamoto ya uwekezaji mkubwa wa binafsi mfano hoteli mpya kubwa ya best Western inamilikiwa na jiji japo si jambo baya lakini tunategemea majengo mazuri zaidi na hoteli mpya za kisasa za binafsi ziendane na kasi ya ujenzi wa majengo ya serikali ili tupunguze nyumba za mabati katikati ya mji na haitakua faida kwa dodoma pekee bali watanzania wote tutajivunia kuonesha picha nzuri za makao makuu yetu